Msaada Hp compaq desktop haitoi sauti

teetotaller

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2014
Posts
317
Reaction score
214
Rejea mada tajwa hapo juu...

Desktop yangu imekua haitoi sauti pale napochomeka waya kupitia kwenye sehemu ya headphones, ila yenyewe kama yenyewe inatoa sauti ya ndani.

Nimejaribu ku-update drivers bt tatizo liko palepale. Kibaya zaidi ni katika matundu yote ya headphones lililoko mbele na nyuma.

Naombeni ufafanuzi juu ya hili.

Asanteni
 
Sema model ipi na unatumia window ipi?

Kujua model
Andika DXDIAG katika seach then enter
 
mkuu naona bado inaandika hivyo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
kwenye sehem ya headphones
 
Chomeka headphone mbele au nyuma kisha piga picha tena hapo ila select hapo palipoandikwa sound sio recoding
 
Kingne ni kuwa driver za sauti official kwa model pc hiyo ni window 7
So ikishibdukana kabisa kuna option mbiri

Mosi REINSTALL WINDOW 7 64bit itakubari sauri

Piri kanunue USB SOUND driver kama upo dar es salaam kariakoo bei ni kati ya elf 5 mpk elf 10
 
Kingne ni kuwa driver za sauti official kwa model pc hiyo ni window 7
So ikishibdukana kabisa kuna option mbili

Mosi REINSTALL WINDOW 7 64bit itakubari sauti na driver hizo au hsta bila driver

Pili kama unataka kutumia WINDOW 10 hiyo hiyo kanunue USB SOUND driver kama upo dar es salaam kariakoo bei ni kati ya elf 5 mpk elf 10
 
sawa mkuu, ntapiga window nyingine nijaribu then ntakujulisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…