Msaada -Hotmail Account locked

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
Wakubwa,

Naombamnisaidie jinsi ya kurudisha Account yangu ya Hotmail ilikuwa ipo vizuri tu lakini juzi wakati na login inaniletea ujumbe kuwa inupdate nilipoclick next mpaka leo siwezi kuaccess mail zangu kabisa.

Please msaada wenu
 
kwan imekwisha ji update?
 
Nakumbuka wakati tunaanza kutumia internet miaka ya 2000 tukiambiana email yako usipoitumia kwa miezi miwili inafungwa. Mpaka leo sinajua aliyeanzisha maneno yale alikuwa anakusudia nini!
 
Wakubwa,

Naombamnisaidie jinsi ya kurudisha Account yangu ya Hotmail ilikuwa ipo vizuri tu lakini juzi wakati na login inaniletea ujumbe kuwa inupdate nilipoclick next mpaka leo siwezi kuaccess mail zangu kabisa.

Please msaada wenu
Kwani haikupi option yoyote? zifuate hizo options.
 
Mwanzo ilinipa hizo option za kuupdate ndiyo nilipozifuata imeninyima kila kitu hadi kuingia kwenye inbox yangu na siyo kwamba nilikuwa siitumiee bali was live all the time
 
Back
Top Bottom