Msaada: Hotel, Lodge nzuri Moshi

Msaada: Hotel, Lodge nzuri Moshi

Natarajia kwenda Moshi kwa muda wa wiki mbili, naomba msaada wa Hotel au Lodge nzuri ambayo gharama yake ni elfu 30
Mimi nikifika moshi mjini uwa na lala Q wine hotel ipo mjini nalala chumba cha elfu hamsini ni kizuri kama utapenda hapo nitakutumai no za mapokezi
Kuna Dada mmoja anaitwa Zulfa na wakiume anaingia usiku ni wastaraabu sana na kwa ufupi wasafi sana
 
Aise ni wastaarabu! Watakua sio wazawa wa hapo, ngoja mleta mada awaulize huenda ni watanga hao.
 
Kilimanjaro White House Hotel ,
Ni Bei nafuu sana - Elfu 20
Iko juu ya KCMC , chini ya chuo Cha Mwenge University.
FREE WIFI - High Speed
Ni hotel flani ya kitalii , imetulia Ila Bei zake nashangaa kwani Ni rahisi kiasi kile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom