Msaada: Hivi vipele vinaniwasha sana

Hahaha kuna mtu kaniambia et papuch haikorogwi vzur ndomana natokewa na vpele nimekosa cha kumjibu ikabd nimjbu hvyo ckuwa na jinsi mpenz
[emoji1] [emoji1] ulivyoniita sasa hadi nimefurahi moyoni... sawa mpenzi
 
Dawa chache......Hilo tatizo unalo kwa mda gan sasa
Lilinianza mwaka Jana mwez wa 6 cku ya kwanza nilikuwa naskia nachomwachomwa mwilini na vtu kama sindano mpak mwez wa 8 nikaanza tena kuskia natembelewa mwilini na vtu kama utitir ila ukiangalia huvion likadumu had mwez wa 12 nikaanza kuwashwa na kutokewa na vpele style ya shilling hvyo hapo kwenye pcha vmeanza kupungua mwez huu vmeanza tena kutoka vipele style mpya ambavyo ndonajkuna hapa sahv hvyo vyekundu kwenye pc
 
ok, kwa kuanzia, acha matumizi ya sabuni za kemikali na mafuta, paka ya kawaida.
Maji ya kuoga uwe unachemsha kwanza yawe vuguvugu.
kama vinawasha sana, tafuta vidonge kwa prednisolone kunywa 20mg mara moja kwa siku kwa siku 3, kisha punguza dozi mpaka 15mg mara moja kwa siku kwa siku 2, kisha 10mg mara moja kwa siku kwa siku 2 tena. sehemu nyingi kidonge kimoja kina 5mg sasa hapo utatumia hesabu tu.

wakati huu huo tafuta calamine lotion uwe unapaka kama mafuta kwenye ngozi.

kama unahisi na kahoma homa, ungeza amoxycillin dozi ya siku 5, ila kama hakuna homa hata kidogo hiyo acha.

usipende kukaa kwenye joto sana, kama ni usiku unalala vaa kinguo chepesi tu(hapa simaanishi usijikinge na baridi kama ipo), pia kuoga angalau mara 2 mpaka 4 kwa siku, yani mwili usikae na jasho mda mrefu.
.......................

Swali, hivyo vipele ukivitoboa vinatoa maji, usaha au damu?
 
Nashukuru sana ubarkiwe, Yan havitoi usaha tuseme tu ni vipele vyekundu kama kwenye pc hapo mfano wa vpele vya mbu sema hv vkubwa kdogo nimejarbu kutoboa inauma nimeacha ila havina usaa ni vikavu na nikisema nitoboe na sindano c lazma damu itatoka maana ntakuwa nmejtoboa ngoz?
 
Nikivaa pia nguo naskia natembelewa na wadudu yan napata shda nikivaa nguo labda natoka ila nyumban Na adhabu ya kushnda hvyohvyo nikivaa tu nahc Nina masisimiz yananitembelea mwili mzma
 
duh, we ni mwanamke, sio takko hilo?
 
Pia nikivaa nguo naskia natembelewa mwilini na vtu kama masisimiz yan nguo navaa tu nikiwa natoka ila nyumban na adhabu ya kukaa uchi nikivaa tu kosa Aman inatoweka nataman kufa
 
Pia nikivaa nguo naskia natembelewa mwilini na vtu kama masisimiz yan nguo navaa tu nikiwa natoka ila nyumban na adhabu ya kukaa uchi nikivaa tu kosa Aman inatoweka nataman kufa
Unapatikana Dodoma maeneo yapi, ili nikuelekeze penye utapata dawa..??
 
Hiv nmepma juz negative
Kama hutojali tupe sexual history yako ndani ya mwezi au miezi miwili iliyopita, je ni protected au unprotected!

Je tofauti na vipele hakuna dalili zingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…