Msaada: Hivi vipele vinaniwasha sana

Wewe ni wa kike ama kiume?Hilo ni muhimu tupate pa kuanzia kukushauri.
 
Vimekutokea sehemu gani ya mwili?
 
Au wamenidanganya majbu hv unaweza kupma HIV alaf wakakuandkia majbu ya uongo?
Uwe unapima mara kwa mara HIV huwa ina stage tatu mpaka ionekane vizuri, ikiwa kwenye stage ya kwanza hata ukipima huwezi kuona kitu
 
Shida nadhani ni allergy ya maji dada yangu. So hata kama ume andikiwa dawa alafu una rejea kwenye same exposures Ndio maana ni emdelevu. Dodoma Una muda gani?
 
Shida nadhani ni allergy ya maji dada yangu. So hata kama ume andikiwa dawa alafu una rejea kwenye same exposures Ndio maana ni emdelevu. Dodoma Una muda gani?
Miaka 4
 
Shida nadhani ni allergy ya maji dada yangu. So hata kama ume andikiwa dawa alafu una rejea kwenye same exposures Ndio maana ni emdelevu. Dodoma Una muda gani?
Itakuwa ni kwenye kunywa tu au hata kuogea?
 
Mmmh mboga umeingiza mambo ya migegedo tena ushapata ufumbuzi tayari
Hahaha kuna mtu kaniambia et papuch haikorogwi vzur ndomana natokewa na vpele nimekosa cha kumjibu ikabd nimjbu hvyo ckuwa na jinsi mpenz
 
il
ilooo guuu naloaaaa mh lkn poleee madaktari wa ngozii mjee kuokoaa hiloo guuu lisiharibuuu mvutooo wakeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…