Msaada: Hivi vipele vinaniwasha sana

Zipo dawa asili za kuweza kukutibia tatizo hilo unaweza wasiliana nami kwa kunipigia simu ama what's app +255 655 821 550
 
Asante mkuu hv alej wanapimaje maana nipo Dodoma walinambia et hamna hospital inayopma alej dodoma
Anza kuoga maji ya mtoto hata Mimi wakati nimehamia hapa dodoma nilipataga hili tatizo Kumbe shida ilikuwa allergy ya maji ya uku
 
Na vyako vilikuwa kama vyangu?
Vyangu vilianzia miguuni kuanzia maeneo ya magoti had ugoko vikaja maeneo ya kwenye mbavu vikaanza na mikononi usoni ndo vikaota kama mashiringi nikaambiwa labda Nina allergy n.a. dawa za kutibia maji ya bomba nilipoanza kuchemsha n.a. kutumia rotion ya QIANYI lemon vikapona sijutumia kidonge
 
Hv vyekundu havikukutokea? Maana mm vilinianza hvyo kama mashiling vikapungua vikaanza tena hv vyekundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…