Habari zenu wana JF?
Naombeni msaada wenu nateseka na hivi vipele vya rangi nyekundu vinawasha sana hii wiki ya 3 toka vianze kunitokea,. Naomba msaada mwenye kujua dawa maana minyoo nimepima sina hospital wamenipa dawa za alleji nimemaliza juzi ila hazijasaidia chochote.
Naomba msaada wenu nifanyaje au nitumie nini.
Mungu awabariki.