Msaada: Hivi ni Kubadilisha window au kuweka window?

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,628
1,786
Nataka kwenda kuweka window sielewi nikaseme vipi kwa fundi mwenye uwelewa a nisaidie Hapa.. Natumia window 7 aina ni Dell.. Ila Naona hafanyi Kaz Sawa
 
Kwa nyongeza kila wakat inanisumbua disk full.. Na pia taa ya WiFi haiwaki na haiwezi kukonect wireless nisaidieni wazoefu
 
Kubadilisha window, yaani ukisema hivyo atakuelewa kuwa unataka Operating system iwe nyingine ila iwe tofauti na hiyo ambayo unaitumia sasa
 
kama ni ivo,means unahitaji kupiga window nyingne so utaenda kumwambia unahitaji kupga window.
 
Ni vizuri ungemueleza tatizo la pc yako, labda hata haliihitaji kubadili window
 
tatizo sio windows unayoitumia mkuu... coz katika windows ninazozikubali 7 naipa no 1 ila... tatizo la pc yako ime"miss driver.. halaf la pili jaribu kukata disk ziwe zaidi ya moja then vitu vyote hamishia disk inayofuata.. ishu ya disk kuwa full itakuwa imeisha!
 
Kwa nyongeza kila wakat inanisumbua disk full.. Na pia taa ya WiFi haiwaki na haiwezi kukonect wireless nisaidieni wazoefu
no tatizo hill c LA window coz window 7 IPO making xana tafuta kitu kinaitwa drive weka humo mchezo umeisha iyo drive ikoyomo outdated or hamna kabisa ivo ila kma unapesa za window peleka ukaliwe
 
tatizo sio windows unayoitumia mkuu... coz katika windows ninazozikubali 7 naipa no 1 ila... tatizo la pc yako ime"miss driver.. halaf la pili jaribu kukata disk ziwe zaidi ya moja then vitu vyote hamishia disk inayofuata.. ishu ya disk kuwa full itakuwa imeisha!
Asante Ngoja nikaonane na fundi
 
Kwa nyongeza kila wakat inanisumbua disk full.. Na pia taa ya WiFi haiwaki na haiwezi kukonect wireless nisaidieni wazoefu
Tatizo la WI-FI kuna driver hazijawa installed , so hata uki install window nyingin kama hauta wekewa driver za WI-FI ni kazi bure, na kuhusu disk full si swala la window ni storage shortage ya hard disk yako huenda ume save vitu vingi kwenye harddrive ndio maana unaletewa ujumbe huo hivyo unatakiwa kuhamisha baadhi ya vitu au kuvifuta kama si vya ,muhimu au kama kuna petition hamishia kwenye drive nyingine au external drive , kwa hayo uliyo yasema hayahusiani kabisa na swala la kushusha window mkuu
 
chusibadili window kwnzaaa....apo inamaana kua kuna drivers zmekisekana pindi ulipokua ukifnya installation ss chakufanya ingia google download "driver pack solution online" then install katika pc yko halafu irun hyo program...wkt wa kurun hakikisha pc ina mtandao....baada ya apo ikifunguka itaanza kusearch drivers zte zlzomiss ktk pc yko then utazdownload na matatzo yte yatakua yamekwishaaa
 
Nashukuru Mkuu
Nimekupata Mkuu
 
Dah shukrani Mkuu
 
Sasa si umeshasema unataka kwenda kuweka window.....
Sisi tulikuwa tunasema kupiga window miaka ya 2005 huko....

Nadhani neno "installation" au install linatafutiwa kiswahili chake.

Back
Top Bottom