McMedards
Senior Member
- Oct 19, 2015
- 199
- 83
Hahah umenikumbusha mbali sana, wengine tulikua tunasema kupiga window chini, enzi izo ni mwendo wa window xp tu mwanzo mwishoSasa si umeshasema unataka kwenda kuweka window.....
Sisi tulikuwa tunasema kupiga window miaka ya 2005 huko....
Nadhani neno "installation" au install linatafutiwa kiswahili chake.