Wakuu katika kitu kinacho nichanganyaga na kunifanya niwe na maswali mengi ni kuhusu hiki kidude kitwacho box nyeusi
Kwakweli mawazo yangu huenda mbali na kuanza kuwaza mambo ya kishirikina kuwa labda ni hirizi za wazungu au kinakuwa na roho za watu maana pindi ndege ikipinduka watu wapo maradhi kupoteza ma milioni ya fedha za madafu mpaka kipatikane
Je hiki ni kidude cha nini na kwanini watu wasitafute mabaki ya watu bali hukitafuta hiki kitu ...
scatter
Mbona kila kitu kipo wazi, unapojua mwenendo wa ndege ni rahisi kujua chanzo cha ajali ni nini? Mathalani marubani wanalalamika hali ya hewa kuwa mbaya na control mpaka wanapoteza mawasiliano wanajua chanzo cha ajali ni hali ay hewa mbaya au kama ni engine failure wanajua ili wawajibishe wahusika n.kIli iweje
Mbona kila kitu kipo wazi, unapojua mwenendo wa ndege ni rahisi kujua chanzo cha ajali ni nini? Mathalani marubani wanalalamika hali ya hewa kuwa mbaya na control mpaka wanapoteza mawasiliano wanajua chanzo cha ajali ni hali ay hewa mbaya au kama ni engine failure wanajua ili wawajibishe wahusika n.k
Ili kuna umuhimu wa kutafuta miili kabla ya kiboxMbona kila kitu kipo wazi, unapojua mwenendo wa ndege ni rahisi kujua chanzo cha ajali ni nini? Mathalani marubani wanalalamika hali ya hewa kuwa mbaya na control mpaka wanapoteza mawasiliano wanajua chanzo cha ajali ni hali ay hewa mbaya au kama ni engine failure wanajua ili wawajibishe wahusika n.k
Ili kuna umuhimu wa kutafuta miili kabla ya kibox
Ili iweje
Wakuu katika kitu kinacho nichanganyaga na kunifanya niwe na maswali mengi ni kuhusu hiki kidude kitwacho box nyeusi
Kwakweli mawazo yangu huenda mbali na kuanza kuwaza mambo ya kishirikina kuwa labda ni hirizi za wazungu au kinakuwa na roho za watu maana pindi ndege ikipinduka watu wapo maradhi kupoteza ma milioni ya fedha za madafu mpaka kipatikane
Je hiki ni kidude cha nini na kwanini watu wasitafute mabaki ya watu bali hukitafuta hiki kitu ...
scatter
Ili kuna umuhimu wa kutafuta miili kabla ya kibox
ndio. ukipata hicho kiboksi utaweza kujua chanzo cha ajali na hivyo kuweza kuzuia isitokee in future[kwasababu za mwanzo] ila ukiipata miili haitakuwezesha kutatua tatizo lililoifanya ndege ianguke ili lisitokee tena....lakini mara nyingi huwa wanatafuta vyote kwa wakati mmoja wanagawana majukumu tu hao waokoaji.
sababu nyingine ambayo huwafanya waokoaji kukimbilia kutafuta black box hasa inapotokea ajali kama hiyo ya kuanguka ndege baharini,ni kuwahi mlio wa tahadhari usiwapote maana betri za kusaidia kutoa mlio huo hupoteza nguvu takriban baada ya mwezi mmojaPriority ya kwanza kabisa ni kuokoa maisha!
Mda ukipita kiasi cha wataalam kuamini kuwa uwezekano wa kuokoa maisha haupo tena bali ni kutafuta na kuokota maiti tu, hapo ndipo wanagawana majukumu na kuanza kutafuta mabaki ya ndege na hizo visanduku vyeusi.
Hizo "black boxes" ziko mbili.
Moja ina record mitambo, na hali ya kiufundi ya ndege, na jinsi ilivyo endeshwa. (DFDR)
Cha pili hurekodi sauti na mawasiliano kati yamarubani na controllers, na sauti zozote za chumbani mwa kuendeshe (cockpit), Inaitwa Cockpit Voice Recorder (CVR).
Vimetengenezwa kwa kutumia chuma cha pua, hivyo vinaweza kuhimili moto mkali, kuvunjika na maji baharini.
Ili kuna umuhimu wa kutafuta miili kabla ya kibox
Hizo "black boxes" ziko mbili.
Moja ina record mitambo, na hali ya kiufundi ya
Vimetengenezwa kwa kutumia chuma cha pua, hivyo vinaweza kuhimili moto mkali, kuvunjika na maji baharini.
Majibu ndio hayo mkuu na kingine chakuongezea ni kua black box haiharibiki na haiungui, kwaio ajali yyte black box itakua salama