Msaada, hili tatizo linanitesa sana

Msaada, hili tatizo linanitesa sana

ujasiri ni kwenda mpaka alipo. Katikati yao hao marafiki zake, mwombe kusema naye kwani una neno unalotaka mwambia. Atacheka kidogo ila wenzake watamwambia akusikilize. Akitoka tu usipoteze mda, mpe moyo wako na umwombe namba ili umpigie akujibu.
Akileta ubishoo mpigie kelele kuwa unampenda hata kati ya rafiki zake, atajua kuwa weye ni kichaa wa mapenzi. Wengi wanalipenda hilo sana
 
Domo ganzi kumbe? muandikie barua halafu jipitishe walipokaa iangushe!
 
Wakuu habari zenu,

Kuna tatizo linanisumbua kwa wadada linalosabisha kuumia na kukosa mwanamke wakuwa nae kuna mdada nimetokea kuvutiwa nae lakini kila nikipanga kufuata nikiona yuko na marafiki zake nashindwa kumfuata wakuu nitumie mbinu gani nimpate nimeshindwa kwa sababu mud a mwingi anakuwa na marafiki zake nisaidie mawazo wakuu nampenda sana.

Eti ni mwanaume ameuliza hilo swali hapo juu!!
 
Ilo jina lako ulijibandika halina uhalisia mtoto wa kiume kujiamini hata km yupo na friend zake waweza kuwafuata kupiga nao story mbili tatu km we uko charming sana wape vioja kidogo wachekecheke kwa staili hiyo wiki haipiti utapata nafasi ya kumweleza tu.......ila isije ukajifanya kamanda yaani ukamfata mbele ya marafiki zake then ukamuita pembeni umtongoze hata kupiga kibuti usiende kwa pupa
 
Kweli vyuo vimeshafunguliwa maana tabia za kukaa vikundi ni ya vyuo

sasa dogo unatakiwa uwe na ujasiri wa kumchomoa kwa rafiki zake hapo ni nafasi kubwa ya kumpata

wanawake wanapenda wanaume majasiri

Ahaa nimeipenda hiyo lakini ukishamchomoa kwa Rafiki sake maneno yote uliyopanga kumwambia yanapotea asee, unaweza ishia kumsalimia kijana!!!
 
Mapenzi shikamoo aseeeee!!!

Muonyeshe pesaaaa

Muonyeshe pesaaaa

We muonyeshe pesaa tuuu

Atakufata tuuu kijana
 
Wakuu habari zenu,

Kuna tatizo linanisumbua kwa wadada linalosabisha kuumia na kukosa mwanamke wakuwa nae kuna mdada nimetokea kuvutiwa nae lakini kila nikipanga kufuata nikiona yuko na marafiki zake nashindwa kumfuata wakuu nitumie mbinu gani nimpate nimeshindwa kwa sababu mud a mwingi anakuwa na marafiki zake nisaidie mawazo wakuu nampenda sana.

Anajua unampenda? Aibu huficha maradhi, ni lazima uwekeze ndipo ufanikiwe
 
nenda kwa masai,mueleze tatzo lako,atakupa dawa,usisahau kuleta mrejesho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom