Msaada, hili tatizo linanitesa sana

Msaada, hili tatizo linanitesa sana

mzee wa misele

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
366
Reaction score
46
Wakuu habari zenu,

Kuna tatizo linanisumbua kwa wadada linalosabisha kuumia na kukosa mwanamke wakuwa nae kuna mdada nimetokea kuvutiwa nae lakini kila nikipanga kufuata nikiona yuko na marafiki zake nashindwa kumfuata wakuu nitumie mbinu gani nimpate nimeshindwa kwa sababu mud a mwingi anakuwa na marafiki zake nisaidie mawazo wakuu nampenda sana.
 
Kweli vyuo vimeshafunguliwa maana tabia za kukaa vikundi ni ya vyuo

sasa dogo unatakiwa uwe na ujasiri wa kumchomoa kwa rafiki zake hapo ni nafasi kubwa ya kumpata

wanawake wanapenda wanaume majasiri
 
Kweli vyuo vimeshafunguliwa maana tabia za kukaa vikundi ni ya vyuo

sasa dogo unatakiwa uwe na ujasiri wa kumchomoa kwa rafiki zake hapo ni nafasi kubwa ya kumpata

wanawake wanapenda wanaume majasiri
Ki vipi mkuu
 
swali lako ni la kitoto nenda shule ukikuwa utajua kutongoza
 
Wakuu habari zenu, kuna tatizo linanisumbua kwa wadada linalosabisha kuumia na kukosa mwanamke wakuwa nae kuna mdada nimetokea kuvutiwa nae lakini kila nikipanga kufuata nikiona yuko na marafiki zake nashindwa kumfuata wakuu nitumie mbinu gani nimpate nimeshindwa kwa sababu mud a mwingi anakuwa na marafiki zake nisaidie mawazo wakuu nampenda sana

Cha kwanza tafuta namba zake

Kisha sema naye kwa m-pesa au tigo pesa

Mambo ni rahisi sana sikuhizi
 
Anza mazoea na marafiki zake,
Halaf mwenyewe ataja taratibu,
Mtafutie dinner nzr, utamalizana nae hapo
 
vaa gagulo na sidilia utamchomoa kirahisi tu mbona
 
Mfwate>msogelee> mwangalie machoni >kama yuko interested utaona tu.. Siku hz ni kwa ishara..maneno waachie taifa stars
(doesn't work at 100%.. May contain errors )
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom