msaada hii tablet inasumbua.

msaada hii tablet inasumbua.

igihumbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2017
Posts
578
Reaction score
575
habari za kutwa wana jamvi.? Natumia tablet ya techno DP7CPRO ina ram ya gb 1 na ila huwa haipiti wiki inadai ni update application nisipo update zinagoma kabisa kufunguka hadi niflash cm je tatizo ni nini chanzo?
 
Back
Top Bottom