Msaada hii page niiiwekeje isijitokeze kama hivi?

g.n.n

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
407
Reaction score
49
picture problem.JPG

Najaribu kuweka page yenye picha, ila mwishoni wa page kuna kitu kama hiki kinatokea, je hiki kinatokaje?
hapo juu ni picha ambayo imekaa vizuri, na nyingine nyingi juu yake ila hiyo mistari ndo imetokea mwishoni, je inatokaje?
 
Sijakusoma fresh
Ila hii kitu ndo naiandika bado sijaweka mtandaoni, au labda Sijui jinsinya kuweka link kabla ya kuweka kitu mtandaoni.
 
Unatumia nini kudesign hiyo page? anyway nitaona namna ya kukusaidia.

Sijakusoma fresh
Ila hii kitu ndo naiandika bado sijaweka mtandaoni, au labda Sijui jinsinya kuweka link kabla ya kuweka kitu mtandaoni.
 
View attachment 109269

Najaribu kuweka page yenye picha, ila mwishoni wa page kuna kitu kama hiki kinatokea, je hiki kinatokaje?
hapo juu ni picha ambayo imekaa vizuri, na nyingine nyingi juu yake ila hiyo mistari ndo imetokea mwishoni, je inatokaje?

Elezea vizuri tatizo lako tukusaidie
 
Back
Top Bottom