Msaada; Hii Number Plate imekaaje Wadau

Msaada; Hii Number Plate imekaaje Wadau

Mkuu hiyo huitwa "plate number" na sio number plate
karibu JF mkuu

yote ni sahihi, inategemea kusudio. Kwa lugha nyepesi, number plate - bati la namba; plate number - namba yenyewe ktk hilo bati.
 
Mkuu hiyo huitwa "plate number" na sio number plate
karibu JF mkuu


Pole sana mkonomtupu, pamoja na usharobaro wako wote hiyo ni NUMBER PLATE na sio PLETI NAMBA, unamkaribisha jf mtu aliyejiunga kabla yako, yeye na post 2000+ wewe just 200. au ndo mambo ya kopi pest bila reasoning hayo. haya rudia tena mara kumi usije sahau, sema
1. Number Plate
2. Number Plate
3. Number Plate
4. Number Plate
5. Number Plate
6. Number Plate
7. Number Plate
8. Number Plate
9. Number Plate
10. Number Plate

NB: na ile mnayoitaga saiti mila sio sahihi ni 'Side Mirror' na ile mnaitaga Singlendi sio sahihi ni 'Singlet' karibu jf mkuu... lol
 
Last edited by a moderator:
yote ni sahihi, inategemea kusudio. Kwa lugha nyepesi, number plate - bati la namba; plate number - namba yenyewe ktk hilo bati.


Haiwezekani yote kuwa sahihi, hapa kinazungumziwa kibati cha namba na sio namba ya kwenye hicho kibati. sahihi ni kusema number plate na sio plate number.
 
Haiwezekani yote kuwa sahihi, hapa kinazungumziwa kibati cha namba na sio namba ya kwenye hicho kibati. sahihi ni kusema number plate na sio plate number.

Ndio maana nikaandika inategemea kusudio. Kuna ambao wanafikiria kwamba hakuna kabisa moja kati ya hayo mawili.
 
Mengine yanakuwaga ya kina kova hayo, yako undercover but namba zao wanazotumia zinakuwaga za kizushi sana.
 
Back
Top Bottom