Msaada; Hii Number Plate imekaaje Wadau

Msaada; Hii Number Plate imekaaje Wadau

IMG-20130207-00081.jpg
hata haka ka- plate number kanachanganya!
 

Attachments

  • IMG-20130207-00081.jpg
    IMG-20130207-00081.jpg
    35.9 KB · Views: 75
Ya vijana wanao tulindia mipaka yetu
 
gari isiyoruhusiwa kubeba abiria ni trekta tu,kama unabisha kasome kwenye kadi.
tz ndo tunachemka kuita gari ya abiria na isiyo ya abiria.

tofauti ni biashara na isiyo ya biashara lakini magari yote lazima yabebe abiria.
 
wadau,

navyofahamu number plate nyeupe ni kwa ajili ya magari ya kibiashara, na ikianza na su maana yake gari husika linamilikiwa na shirika la umma.

Sasa plate inapokua nyeupe halafu number/herufi zinaanzia na su hapo kidogo nakua sielewi wadau, msaada tutani kwenye hili!!
Tuseme hii gari inakodishwa, ama??
View attachment 82422
takukuru
 
Mkuu hiyo huitwa "plate number" na sio number plate
karibu JF mkuu

number plate- ni icho kibati chenye registration digits. kinaweza kuwa cha rangi tofauti redi, white, yellow, blue , black ,green etc

plate number- izo ni number zilizo kwenye icho kiplate. (kibao)

kwaiyo plate number na number plate ni vitu viwili tofauti na mleta hoja anaongelea rangi ya number plate
 
number plate- ni icho kibati chenye registration digits. kinaweza kuwa cha rangi tofauti redi, white, yellow, blue , black ,green etc

plate number- izo ni number zilizo kwenye icho kiplate. (kibao)

kwaiyo plate number na number plate ni vitu viwili tofauti na mleta hoja anaongelea rangi ya number plate
Ahsante kwa kuwaelimisha kaka mkubwa.
Still i am waiting for majibu.
Hii gari inahusu nini?
Ni gari ya shirika la Umma inayohusika na kukodishwa?
Tuseme kama vile UDA waanzishe kampuni ya kukodisha magari!
 
Maana yake ni kwamba hilo shilika la umma lina mradi wa kukodisha magari na ndo maana yamepewa number plate nyeupe kama ambavyo zilivo zile Mercedes b za ikulu

Sent from my YellowBerry using JamiiForums
 
Plate number ni kiswahili maana hakuna neno kama hili kwenye kiingereza.

huyo jamaa labda alikuwa anafikiria haya

Natural numbers
Whole numbers
Real numbers
.
.
.
.
Plate Number
 
Back
Top Bottom