Msaada: Hii ni original Samsung galaxy j7 prime?

Maadam chief mkwawa kasema ni org basi napokea hilo. Maana ambacho naona kinaleta utofauti hii ni made by vietnum na zile zenye amolled ni made by korea
Sasa kwann uchukue kutoka vietnam mkuu ?
Mimi ni made in korea J5 prime na iko vzr sana
 
pole sana kbl hujafanya maamuzi shirikisha watu
 
ila mkuu nashindwa kuielewa simu yako asee maana hata screen mbona inaoneka ndogo sana ,wakati yangu ni j5 prime lkn iko vzr mnoo .
 
Picha ya juu kabisa apo kweny device name pame andikwa

SUMSUNG

Kuna usalama kweli??
SUMSUNG [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Jamaa kapigwa asubuhi muonekqno tu wa simu inaonyesha ni fake

Labda alivyoenda dukani akasema anataka SUMSUNG si unajua wengine kuta.ka Samsung hawawezi.

Kitu cha korea ndo samsung halisi hizo za vietnam ni SUMSUNG
 
Simu gani ambayo ni original nijipatie au duka gani linauza simu original nikajipatie maana nimepata na mimi mtu wa kumpiga kwa 450,000 potelea mbali tugawane hasara
 
Ni maduka gani ya simu original kwa dar maana nimepata kisafari cha kwenda dar natokea kigoma mwisho wa reli huku nisije nikapigwa tena
 
Ni maduka gani ya simu original kwa dar maana nimepata kisafari cha kwenda dar natokea kigoma mwisho wa reli huku nisije nikapigwa tena
Mkuu ingia samsung customer care sijui uko maeneo gani ?
 
Ni maduka gani ya simu original kwa dar maana nimepata kisafari cha kwenda dar natokea kigoma mwisho wa reli huku nisije nikapigwa tena
Mkuu nenda samsung customer care ndo wanauza vitu orgn
 
kabla ya yote nunua simu then click *#06# copy ime then tuma kwa 15090 bure Watakwambia Ni Samsung Gani
 
Simu gani ambayo ni original nijipatie au duka gani linauza simu original nikajipatie maana nimepata na mimi mtu wa kumpiga kwa 450,000 potelea mbali tugawane hasara
Jinunulie Samsung A3 2017 nzuri sana utaipenda
 
Mi natumia Samsung J5 prime now nimeupdate nipo Nougat naenjoy balaa .. Au Mtafute High life tz yupo upanga jijini dar anauza vitu orgn
 
Kwahiyo Chief Mkwawa pekee ndio anazijua Samsung? Aya Mkuu, ngoja tukuache na Chief wako.
Kwa vile unamwamini chief mkwawa tu kwa hapa basi endelea kuamini hivyo ila kwa experience yangu hiyo cm ni famba sema famba lenyew liko advanced sana kiasi kwamba wajanja tu wajuzi Wa hizi cm ndio huelewa
utofaut wa Chief na ninyi mnao jiita wataalam ni kuwa yeye anajibu na kitoa solution hapohapo ila ninyi mnasema ni famba na kulaumu laumu bila kutoa maelezo ya ziada. sasa unategemea mtu akuulize wewe unajibu tu hiyo ni famba bila kumwambia kwanini unasema ni famba?
 
Ni maduka gani ya simu original kwa dar maana nimepata kisafari cha kwenda dar natokea kigoma mwisho wa reli huku nisije nikapigwa tena
kwanini umpe hasara mwenzako wakat muuzaji aliyekuuzia unamjua?

mrudishie na umwoneshe hiyo

akibisha mtishie kwenda polisi
 
Mkuu ingia samsung customer care sijui uko maeneo gani ?
Mi mwenyeji wa kigoma ila dar sio mgeni sana maana nilisoma chuo dar miaka 3 kwahiyo ukinambia ikosehemu gani ntafika bila shisa
 
Mi mwenyeji wa kigoma ila dar sio mgeni sana maana nilisoma chuo dar miaka 3 kwahiyo ukinambia ikosehemu gani ntafika bila shisa
Wako JM Mall, Karibu na Parking Entrance ya JM Mall, Opposite NBC - or call them on 022 2124760, 0786 230 111 or 0776 786 500

Utawapigia simu au kama utaweza kufika bila shida nenda
 
Hapo hamna kitu umeuziwa copy njoo nikupe original tiku
Namuuzia J5 prime Yangu iko poa 420K Ina kila kitu mzee, Pin ,Chaji yake ,Earphone na box juu kwa 400K ina miezi miwili
Bei haipungui hata cent . hapo biashara bila chenga
 
Namuuzia J5 prime Yangu iko poa 420K Ina kila kitu mzee, Pin ,Chaji yake ,Earphone na box juu kwa 400K ina miezi miwili
Bei haipungui hata cent . hapo biashara bila chenga
J7 Pro. Laki 6.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…