Tangopori
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 1,628
- 1,289
Kuna namba imenipigia le mchana sikuweza kupokea maana nilikuwa sehemu nisingeweza kuipokea nikatuma sms ikawa inaleta report kuwa sms unsuccesfully
Nilivyotaka kuipigia ikawa simu haiendi pia!
Namba yenyewe ni +255 901 ** ****
Je hii ni namba ya mtandao gani inaanza na +255(0)901 ??
Nilivyotaka kuipigia ikawa simu haiendi pia!
Namba yenyewe ni +255 901 ** ****
Je hii ni namba ya mtandao gani inaanza na +255(0)901 ??