Msaada: Hii mimba inaweza kuwa yangu?

Msaada: Hii mimba inaweza kuwa yangu?

Wewe unajua umeanza nae lini na Mara ya mwisho kutembea nae ni lini. Tupe sababu za kuwa na wasiwasi
 
Mkumbushe tu mimba inayotungwaga siku ya 13-15 huyo mtoto anatokaga copy ya baba kwahio ajipange maan kashapaniki kinoma
Akubali tu maana akikataa na copy ya baba ikatoka sijui atamwambia nini mtoto hapo baadae
 
safi sana... watakucheka ila mwisho wa siku wao ndo watabaki kulea mimba....
Sio kosa maana ndivyo ulivyopatikana. Chamsingi liwe tendo la ndoa sio casual sex. Nyeto restructures your brain, hutaishiwa nguvu ila itakuprogramme kupewa tendo kwanjia za ajabu mwishowe normal sex itakushinda, shika hilo kichwani. To every action there is.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom