Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,299
- 60,931
tuliza akili halafu acha kuogopa, Kwani hamkujipanga 😊Kwann
tuliza akili halafu acha kuogopa, Kwani hamkujipanga 😊Kwann
Mimba ni yako broo ... Hiyo tarehe 28 alikuwa dangerousTarehe 20 ndo bleed yake ya mwisho af tarehe 28 tukajoin
Hesabu hapo hiyo tarehe 28Tarehe 20 ndo bleed yake ya mwisho af tarehe 28 tukajoin
Tar 20 ndo alianza au alimaliza? 😂😂😂Tarehe 20 ndo bleed yake ya mwisho af tarehe 28 tukajoin
Kumbe aliingia tarehe 20 akamaliza tarehe 25?na mkakutana tarehe 28?Mhhhh Ila yy anableed tano tano Kaka![]()
Mhhhh Ila yy anableed tano tano Kaka![]()
Kama tar 20 kamaliza, basi mlifekeche kwenye siku za hatari, ivo hongera mkuu.. 😀..Kamaliza
jiandae kisaikolojia.... anza kutafuta vibarua, i wish you a happy fatherhood....Kamaliza
Muulize vizuri, kama aliingia tarehe 20 akamaliza tarehe 25, mkakutana tarehe 28 basii hiyo mimba sio Yako .. lakini kama alimaliza tarehe 20 hiyo mimba ni Yako mkuu.Yani tarehe 20 ndo ya mwisho cjauliza kaanza ngapi
YKamaliza
Kama tar 20 alimaliza(umesema anaendaga siku 5) ukihesabu vizuri tar 28 inaangukia siku ya 13 ambayo ovulation inakua road... Kupata mimba inawezekana kabisa kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28..Yani tarehe 20 ndo ya mwisho cjauliza kaanza ngapi
Hili somo la Kalenda babe linatuvuruga sana sisi ma Aposto ila wahuni wanazijua siku kama Wanabreed wao vile.Muulize vizuri, kama aliingia tarehe 20 akamaliza tarehe 25, mkakutana tarehe 28 basii hiyo mimba sio Yako .. lakini kama alimaliza tarehe 20 hiyo mimba ni Yako mkuu.
Tangu mmeachana mna siku 10,, kwahiyo ulivyomla tar 28 ukapiga chiniTarehe 20 ndo bleed yake ya mwisho af tarehe 28 tukajoin


Kaka tangu tulivyoachana mpka Sasa imefika siku11 so kumi nimekosea mm kanambia jan