Chukuwa tu wote wawili hakuna tatizo kabisa.Nilikuwa na mpenzi wangu nikiwa kidato cha nne nilipofika cha tano akaniacha nikaja sikia ana date na jamaa mwingine wakati huo amebahatika kupata kazi ya kuuza duka mimi nikiwa sina ramani ndo kwanza nipo kidato cha sita.
Nilimaliza kidato cha sita nikafanikiwa kujiunga na chuo kikuu watu wakapeleka taarifa kuwa ex wako amefanikiwa kuenda chuo kikuu.
Baada ya muda kama miezi 4 hiv nikiwa likizo kijijin kwetu nilibahatika kumpata binti mmoja hivi alinipenda sana
Nakumbuka siku moja ex wangu alininitafuta baada ya yeye kusikia nina mtu mwingine kwa sasa kwani pia nilifanikiwa kuanzisha biashara yangu ambayo inanilipa kiufupi maisha sio mabaya sana sasa akaanza kusema anahitaji turudiane kwani ameona mimi ndiye mwanaume sahihi kwake wengine hawatawezana nikamwambia nina mahusiano ananishawishi nimuache huyu mpenzi wangu wa sasa nimrudie yeye akidai kuwa ameishamwacha huyo jamaa yake.
Sasa hapo wadau imekaaje kaaje hili swala.????
Sasa hapo wadau imekaaje kaaje hili swala.??
Ila huyu binti mpya weka namba hapa jukwaani maana atakua mpweke baada ya wewe kumuumizaHahahahaha unacheza na wote
Ukikua tutakuambia imekaajeSasa hapo wadau imekaaje kaaje hili swala.????
Akili yako ni ndogo sana.Nilikuwa na mpenzi wangu nikiwa kidato cha nne nilipofika cha tano akaniacha nikaja sikia ana date na jamaa mwingine wakati huo amebahatika kupata kazi ya kuuza duka mimi nikiwa sina ramani ndo kwanza nipo kidato cha sita.
Nilimaliza kidato cha sita nikafanikiwa kujiunga na chuo kikuu watu wakapeleka taarifa kuwa ex wako amefanikiwa kuenda chuo kikuu.
Baada ya muda kama miezi 4 hiv nikiwa likizo kijijin kwetu nilibahatika kumpata binti mmoja hivi alinipenda sana
Nakumbuka siku moja ex wangu alininitafuta baada ya yeye kusikia nina mtu mwingine kwa sasa kwani pia nilifanikiwa kuanzisha biashara yangu ambayo inanilipa kiufupi maisha sio mabaya sana sasa akaanza kusema anahitaji turudiane kwani ameona mimi ndiye mwanaume sahihi kwake wengine hawatawezana nikamwambia nina mahusiano ananishawishi nimuache huyu mpenzi wangu wa sasa nimrudie yeye akidai kuwa ameishamwacha huyo jamaa yake.
Sasa hapo wadau imekaaje kaaje hili swala.????
Imekaa kichwa chini miguu juuNilikuwa na mpenzi wangu nikiwa kidato cha nne nilipofika cha tano akaniacha nikaja sikia ana date na jamaa mwingine wakati huo amebahatika kupata kazi ya kuuza duka mimi nikiwa sina ramani ndo kwanza nipo kidato cha sita.
Nilimaliza kidato cha sita nikafanikiwa kujiunga na chuo kikuu watu wakapeleka taarifa kuwa ex wako amefanikiwa kuenda chuo kikuu.
Baada ya muda kama miezi 4 hiv nikiwa likizo kijijin kwetu nilibahatika kumpata binti mmoja hivi alinipenda sana
Nakumbuka siku moja ex wangu alininitafuta baada ya yeye kusikia nina mtu mwingine kwa sasa kwani pia nilifanikiwa kuanzisha biashara yangu ambayo inanilipa kiufupi maisha sio mabaya sana sasa akaanza kusema anahitaji turudiane kwani ameona mimi ndiye mwanaume sahihi kwake wengine hawatawezana nikamwambia nina mahusiano ananishawishi nimuache huyu mpenzi wangu wa sasa nimrudie yeye akidai kuwa ameishamwacha huyo jamaa yake.
Sasa hapo wadau imekaaje kaaje hili swala.????
Eti imekaaje kaaje hili swala???Kwani wewe unaona imekaaje?
Nyuzi nyingine bhana
😂😂😂Haijakaa