Msaada hii iPHONE 6

Olsea

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
452
250
Habari wakuu,naombeni msaada kwa wenye uzoefu au aliyewahi kukumbana na tatizo hili kwenye iPhone..Nina iPhone 6 nimeitumia kama miezi 6 hivi na nilinunua mpya.Tatizo lilianza wakati wa kutumia simu ghafla zinatokea horrizontal lines huku screen kama inachuja na contents za kwenye screen zinaonekana hafifu na then inazima yenyewe na inawaka yenyewe,siku moja nikiwa nimeweka charge ikawa inazima na kuwaka yenyewe muda wote nilipokuja kuitoa simu ikawa haiwaki kabisa hadi sasa na nimejaribu kila mbinu bila mafanikio.Naombeni ushauri kwa wazoefu au ambao wameshawahi kukutana na tatizo hili japo Akili yangu inawaza huenda Battery ikawa imekufa.
 
Hata ukichomeka chaji haionyesh chochote? Hata ukijaribu dfu mode inagoma?
Kama ndo hvyo itakuwa hardware prob
 
inaonekana kama ni Tatizo la display, hasa ilivyoanza na hizo lines, ukiconect na pc na itunes inakuwa detected?
 
iPhone 6 ikae miezi 6 ianze kuzingua!! We uliuziwa copy mkuu au uliingia cha kike ukauziwa ilotumika kisha ikabadilishwa cover!! iPhone ni mkataba mkuu
 
Screen inakufa. Wahi haraka ku sync data kwenda iCloud. Muda wowote itazimika na haitowaka tena hadi ubadili screen. Na ukibadili screen haitokuwa tena kama zamani.
 
iPhone 6 ikae miezi 6 ianze kuzingua!! We uliuziwa copy mkuu au uliingia cha kike ukauziwa ilotumika kisha ikabadilishwa cover!! iPhone ni mkataba mkuu
Sawa Mkuu..ila mimi ni mzoefu na Iphones,hii ni Iphone yangu ya tatu.
 
Back
Top Bottom