Nenda custom office posta mule ndaniNiwapigie Ali Express? Maana nilijaribu kuchat nao wamesema huenda kuna taxes nahitajika kulipa hapa nchini
I see!!Volume ndogo na bei pia ndogo, yani ni wakawaida tu hata laki mbili haufiki
No hurry... kama uliweka namba ya simu, utapigiwa na ukifika pale, kabla hujapewa mzigo wako utaambiwa ukalipie kama issue yenyewe ni kulipia!Asante, nitafanya hivyo na kuleta mrejesho.