Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,711
- 1,663
- Thread starter
- #21
Asant yan duh!!Anatumia njia gan ya uzazi?...
Asant yan duh!!Anatumia njia gan ya uzazi?...
Muulize kabla ya kuwa na wewe amekuwa akitumia vidonge vya uzazi.....?!Natumai mu wazima,
Mpenzi wangu akiingia kwenye mzunguko wa hedhi anatokwa damu nyingi sana hadi hufikia mpaka kuongezewa damu. Hali hii ikianza yaweza kuchukua hadi wiki 3 bila kukata, nampenda sana japo hashiki mimba....