Msaada haraka: mtoto analia siku nzima

mwalisa jr

Member
Aug 18, 2015
50
18
jaman wataalam nisaidieni mtoto wangu anawiki mbili lkn analia sana ananyonya kidogo anaendelea kulia, pia anakula vidole nisaidieni wengine wanasema maziwa ya mama labda mepesi hashibi sielewi huyu ni mwanetu wa kwanza plz niasaidieni
 
Pia kama nikula vidole nadhani siyo kweli labda useme ananyonya vidole maana kwa two weeks hawezi kula chochote. Vinginevyo ningemuogopa sana.
 
Itakuwa hashib vizur mtt hat mie nilivyopat first born wangu alikuwa analia mnoo had nami naanza kulia nae khaa uzao wa kwanza ni shid jamn looh
hahahaha ukajoin movement?? uko vizuri mkuu kama mlilia wote
 
Kuhusu kunyonyesha, Maziwa ya mama yapo katika stage 3.
Ya mwanzo_yana maji mengi zaidi ya virutubisho
ya katikati- yana virutubisho vingi
ya mwisho-ni mazito na yana mafuta kwa wingi

Mwambie mama amnyonyeshe mtoto hadi maziwa ya mwisho mtoto ayapate ndipo ambadilishie Ziwa la pili

Kingine Chango la tumbo kwa watoto wadogo km huyo inweza kuwa sababu ya kulia
 
jaman wataalam nisaidieni mtoto wangu anawiki mbili lkn analia sana ananyonya kidogo anaendelea kulia, pia anakula vidole nisaidieni wengine wanasema maziwa ya mama labda mepesi hashibi sielewi huyu ni mwanetu wa kwanza plz niasaidieni
Kuna dawa inaitwa mafuta ya samaki, mnunulir
 
Kwa motto mdogo kama huyo hapo kuna mengi dada yangu, ukiangalia rangi choo chake unaweza jua kama ni tumbo, kama anajinyoosha nyoosha ni tumbo linauma, apewe water syrup, kama ananyonya vya kutosha lakini bado analia sana ni njaa, mimi nakumbuka mwanagu siku ya 3 ilibidi tuchanganye unga na maji tukachuja tukamtengenezea uji tukampa vijiko 3 vya chai, akatulia, inasemekana ilikua njaa, ila kabla ya kumpa inabidi ujiridhishe ni njaa na si tatizo lingine
 
Naomba unielewe mimi sio mtaalam ila nimejaribu kushare kile ninacho kijua kuhusu watoto, ila utapata ushaur mzuri zaid, pia unaweza kumpaka vitunguu saumu kidogo sana kwenye paji la uso labda ni negative energy kama analia wakati wa usiku
 
hashibi mkuu msongee ugali mlaiini
natania kuhusu ugali ila atakuwa hashibi mnunulie formula
 
Nakushauri Jitaidi kunyonyesha maziwa ya mama pekee.
Ukimchanganyia vyakula saiv ni mapema mno, Atapata utapiamlo na magonjwa mengine
 
Anaweza kunyonya na kunywa maziwa ya unga pia. Akimnyonyesha anamtoa na kumjazia kwa kumpa ya unga kumshibisha, kuna wamama huwa maziwa yao hayashibishi watoto hata iweje. Na labda pia akiacha kunyonya usishangae ni kawaida kama hayapendi endelea na mengine.

Ukiona anaendelea kulia kama ilivyo sasa baada ya hayo zikipita siku chache, basi mumpeleke kwa daktari kuchekiwa.
 
Back
Top Bottom