cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 26,795
- 73,548
MPE ugali
Acha kumpotosha mwenzako.
Usijaribu hili ndugu kwa sasa hajafikia miezi ya kula haya na uji pia bado. Maziwa yatamkuza tu.
MPE ugali
Tupe na suluhisho lakewape watu wazima wakuangalizie kama ni kichwa cha utosi,
1. Hashibi hio naguaranteejaman wataalam nisaidieni mtoto wangu anawiki mbili lkn analia sana ananyonya kidogo anaendelea kulia, pia anakula vidole nisaidieni wengine wanasema maziwa ya mama labda mepesi hashibi sielewi huyu ni mwanetu wa kwanza plz niasaidieni
Unamalizia lohhh! kwani we shori?Nice class to me too.. Ahsanten jaman mana ndo naelekea uko, lohhh!
nimetoa comment ya juu, kama ni kichwa atumie kumpakaa mafuta mengi ya nazi kichwani.....japo zipo tiba nyingi.Tupe na suluhisho lake
hiimcheki huenda kichwa cha utosi kinamsumbua, mpakae mafuta ya nazii kichani mara kwa mara kama ni kichwa cha utosi.
Safi sana,
Me mwanaume, nimeshukuru kwa7b soon nataraj pata the new born son, inshaallah mwenyez akijaalia... Thus changamoto kam hizi ikitokea zikamtokea mama wa mwanangu... Ntakua cna budi kumwelewesha ili kumtoa wasi, upo mkuu?Unamalizia lohhh! kwani we shori?
Me mwanaume, nimeshukuru kwa7b soon nataraj pata the new born son, inshaallah mwenyez akijaalia... Thus changamoto kam hizi ikitokea zikamtokea mama wa mwanangu... Ntakua cna budi kumwelewesha ili kumtoa wasi, upo mkuu?Unamalizia lohhh! kwani we shori?
Ni kawaida na inaweza kukupeleka hadi miezi miwili. Mtoto ndo anaanza kubadili mazingira kutoka tumboni mwa mama na anaanza haya yetu tunayokimbizana na akina "bashite". Mwambie Mama mtoto asiwe mvivu kunyonyesha (ujue mtoto anapotulia kunyonya anaweza kunyonya usiku kucha au mchana kutwa endapo usiku mmekesha). Mama mtoto ale vyakula vinavyochochea ongezeko la maziwa. Uliza "wakubwa" hapo ulipo vingine ni vyakula vya asili kama mbegu za maboga, ukisagia kwenye mboga hasa nyama ya ng'ombe ya kubanika ni balaa. Mtoto atashiba kinoma yaani. Ni vema akimaliza kunyonya uwe unahakikisha anabeua kwa kumweka begani uso wake akitazama vice versa na wewe/mama. Ni vema akitulia na akibahatisha usingizi alazwe kifudifudi huku shingo limegeuzwa kidogo kulia au kushoto ili apumue vizuri. Sishauri atumie mafuta ya samaki au grip water kwa umri huo ila ikilazimu basi mpe kidogo. Otherwise ndo ukubwa huo. Kulea mimba si kazi, kazi kulea mwana.jaman wataalam nisaidieni mtoto wangu anawiki mbili lkn analia sana ananyonya kidogo anaendelea kulia, pia anakula vidole nisaidieni wengine wanasema maziwa ya mama labda mepesi hashibi sielewi huyu ni mwanetu wa kwanza plz niasaidieni
Ni kweli tafuta mtu mzima mshirikishe anaweza kukusaidia sana hata kwa mawazowape watu wazima wakuangalizie kama ni kichwa cha utosi,
Niwape watu wazima wakuangalizie kama ni kichwa cha utosi,