I can help you, if you come with a good price, TANGU Magu atangaze watu wasicheze pool, watu wameamua kutafuta ajira kwa style tofauti. Hiyo ku-unlock not less than 15K. Ila kwa kuwa wewe hujui, ntakufannyia kwa 10K.Heshima kwenu nyote..Poleni na majukumu.
Kuna mtu humu alipost kitu ili kuzuia usumbufu kwenye simu,alsema unaminya *002*007#.mimi nmejaribu na line imejilock mpaka sahiz nashndwa ku unlock..anaejua plz anisaidie.Samahan kwa usumbufu.
AsanteIngia kwenye phone/call ile sehemu ya kupigia au kuwekea vocha, minya alama ya option ipo kushoto/kulia, fungua call setting utaipata iyo call forwarding
ThanxI can help you, if you come with a good price, TANGU Magu atangaze watu wasicheze pool, watu wameamua kutafuta ajira kwa style tofauti. Hiyo ku-unlock not less than 15K. Ila kwa kuwa wewe hujui, ntakufannyia kwa 10K.
Pm me for next procedures.
Umefanikiwa mkuuAsante
Yes..nmefanikiwa.Umefanikiwa mkuu
Anamaanisha Tigo yako inahitaji kuzibuliwa yaani ku unlocksamahan Sijaelewa unamaanisha nn
Aisee nimecheka sana!Anamaanisha Tigo yako inahitaji kuzibuliwa yaani ku unlock
avatar yako imenifanya nikaoge kwa Mara nyingne na sabuni revola imeishaI can help you, if you come with a good price, TANGU Magu atangaze watu wasicheze pool, watu wameamua kutafuta ajira kwa style tofauti. Hiyo ku-unlock not less than 15K. Ila kwa kuwa wewe hujui, ntakufannyia kwa 10K.
Pm me for next procedures.
Msahada - MsaadaNimekuuliza unatumia simu gani nikupatie msahada au unachagua msahada kwa member?
Piga #35*0000# alafu nipe majibuHeshima kwenu nyote..Poleni na majukumu.
Kuna mtu humu alipost kitu ili kuzuia usumbufu kwenye simu,alsema unaminya *002*007#.mimi nmejaribu na line imejilock mpaka sahiz nashndwa ku unlock..anaejua plz anisaidie.Samahan kwa usumbufu.