ila wewSubiri niandae notes, ntakutumia pdf sio muda.
We ni hatare.....Acha kuvunga kama unampenda pia, tupia sounds I hope hawezi kukuchomolea, kila rakheri
😀 Mambo "M
Hongera sana, sasa usimchezee bure mtoto wa watu anakupendaa,na ikibidi oa kabisa mkuu tuje kula ubwabwa.Kazi imeisha tayari, dogo kashaingia kwa himaya yangu... Hajaleta challenges zozote, nahisi kafurahi sana
ha ha una maneno wewe corona jamaniiAcha kuvunga kama unampenda pia, tupia sounds I hope hawezi kukuchomolea, kila rakheri
nakuelewaga sana mwamba
Hongera sana, sasa usimchezee bure mtoto wa watu anakupendaa,na ikibidi oa kabisa mkuu tuje kula ubwabwa.
nakuelewaga sana mwamba
Acha kuvunga kama unampenda pia, tupia sounds I hope hawezi kukuchomolea, kila rakheri
Khaa mimi ni nani?, kwahiyo mimi ni Covid mkuu?😪, sawa mwambaha ha una maneno wewe corona jamanii
Bablai 😂Kama hutaki kumwambia unampenda then mwandikie SMS hii 'Sister kama vipi nitoe hio mbunye basi mwenzako nina Ugwadu ujue'.
Sent using Jamii Forums mobile app