Wala Haili kwangu mkuuwe we ni nataka sitaki..
na isitoshe unadhan uko very speciallllyyy
kiasi humfai huyo demu coz hujielewi na hata kama lengo ni kumchezea mwishoni itakula kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, me najua thamani ya buku kama wazee wa kubeti.. Hali hata jero..Jichanganye tu ule za uso,binti ametega kombora zake na kuzielekezea Kaskazini mashariki.sasa ili kuepuka hlo wewe endelea kuyachokonoa kwa upande wa kusini magharibi kama hujuwi ukisema usigeze uso tu ni utapigwa vizinga paka umsahau mamaako mzazi.
Hahahaaaaa, hatare sanaKama hutaki kumwambia unampenda then mwandikie SMS hii 'Sister kama vipi nitoe hio mbunye basi mwenzako nina Ugwadu ujue'.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo anazingua anaona kabisa Mboga iko mezani anauliza uliza. Lakini pia wapo wajanja wanataka kumpiga si unajua hili janga la corona limekuja na mengi.Acha kuvunga kama unampenda pia, tupia sounds I hope hawezi kukuchomolea, kila rakheri
Hahahaaaaaaaa mwanangu umeotea mbali sana. Bomu limeelekezwa bahari ya Siberia Pacific kule.Jichanganye tu ule za uso,binti ametega kombora zake na kuzielekezea Kaskazini mashariki.sasa ili kuepuka hlo wewe endelea kuyachokonoa kwa upande wa kusini magharibi kama hujuwi ukisema usigeze uso tu ni utapigwa vizinga paka umsahau mamaako mzazi.
Ohoo, awe makini tu kupigwa siyo rahisiDogo anazingua anaona kabisa Mboga iko mezani anauliza uliza. Lakini pia wapo wajanja wanataka kumpiga si unajua hili janga la corona limekuja na mengi.
Unawajua au unawasikia...ubaya unakuja pale umeshakuwa attached na mzigo unautaka na hapo ndipp Nyukilia inakuja, kuachana nao unashindwa unakuwa ushaingia kingi.Ohoo, awe makini tu kupigwa siyo rahisi