Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,421
wapi ndg, nimeset hivyo lakini badoswitch on auto volume
jaribu kubalance speakers to 50wapi ndg, nimeset hivyo lakini bado View attachment 1565996
Umeunga kupitia waya gani? Haina optical?Nimenunua star x tv lakini nikiunga redio hailii bass, inalia speaker za pembeni tu, nimeangalia kwenye setting za tv nikakuta trebble na bass ziko blinked yaani hazioneshi kufanya kazi
Mwenye anajua nafanyaje msaada tafadhali
View attachment 1565975
kuna sehemu ya "earphone output"Umeunga kupitia waya gani? Haina optical?
Nimeshasoma mkuu, sehemu ya kuconnect audio system ni hiyo ya earphoneKwanza nenda kwenye instruction manual ya tv uangalie maelekezo ya jinsi ya ku connect audio system(hasa subwoofer) kwenye tv yako. Kisha fuata na maelekezo.
Ports zake hizo hapo, zote ni inputs isipokuwa hiyo earphone ndo "audio output" tuUmeunga kupitia waya gani? Haina optical?
Chengine mkuu waya wako unaochomekea kwenye headphone una pin 2 au 3 ama 4? Maana nyengine zinakuwa na ground na Audio tu, ila nyengine zina specify right na left na ground na video/microphone.Ports zake hizo hapo, zote ni inputs isipokuwa hiyo earphone ndo "audio output" tuView attachment 1566635
Ni huo wa TRSChengine mkuu waya wako unaochomekea kwenye headphone una pin 2 au 3 ama 4? Maana nyengine zinakuwa na ground na Audio tu, ila nyengine zina specify right na left na ground na video/microphone.
Kama yako ni mono (pin 2) hilo nalo ni tatizo.
Yaan ndg hata mi nimekwazika sana, itabidi niuze kwa hasara ili nitafute aina nyingine ya screenHizi Star X kwenye Audio ya nje ni Ovyo sana, hatai nilikuwaga nayo moja. Ilikuwa haitoi mkito mzuri hadi nikaamua kuibadilisha tu.
Inch ngapi iyo tufanye biashara?Yaan ndg hata mi nimekwazika sana, itabidi niuze kwa hasara ili nitafute aina nyingine ya screen
Mkuu nchi ngapYaan ndg hata mi nimekwazika sana, itabidi niuze kwa hasara ili nitafute aina nyingine ya screen
24Mkuu nchi ngap
24" Tatzo ni location ulipo na mi nilipo, mi nipo kageraInch ngapi iyo tufanye biashara?