Msaada hapa kuhusu Laptop aina ya Nvidia

Unaenda kuifanyia nini hio laptop? Kwa matumizi ya kawaida inatosha kabisa

Mkuu kuna
Asus core i3 Intel inside, ram 4GB
full windows touch support with 10 touch points
Vipi Vipi Nzuri kwa matumizi gani nishauri
 
Mkuu kuna
Asus core i3 Intel inside, ram 4GB
full windows touch support with 10 touch points
Vipi Vipi Nzuri kwa matumizi gani nishauri

Kaka matumizi niambie wewe unataka uitumie vp na ni i3 ipi? Zipo nyingi
 
nimechati nao whatsapp, swali la mwisho nimewauliza wanapatikana wapi dar, but nasubiria jibu coz inaonekana niliyekuwa nachat naye hayuko online
 
Last edited by a moderator:
Aisee kumbe nimeingia chaka, hao watu nimemaliza kuchat nao kumbe hawana ofisi tz tumlack
 
Last edited by a moderator:
Wameniambia wanadeliver Tanzania through Fedex or DHL within 3days, free delivery. Wenye uzoefu na biashara ya mitandao wanisaidie hapa
 
Sijajua ni i3 gani Ila ni ASUS LAPTOP TOUCH SCREEN

i3 utafanya mambo yote ya kawaida hadi games ndogo ndogo kama pes, fifa nk ila kwenye games kubwa kubwa itakuwa slow na hasa kama haina gpu nzuri.

Pia inabidi uijue i3 ipi maana vipo vimeo pia.

Ila kama ina touch na win 8 itakuwa ni nzuri
 
Yap Ina windows 8
 
Wameniambia wanadeliver Tanzania through Fedex or DHL within 3days, free delivery. Wenye uzoefu na biashara ya mitandao wanisaidie hapa

Nnavyofahamu fedex na dhl wana bei sana around dola 50 hadi 100 sidhani kama wataleta free delivery
 
Safi sana mkuu. Nimepanua uelewa wangu kwenye GPUs. I once had an nvidia nvs 3100 gpu ilikua poa kwenye games za kawaida, though after sometime ikazingua. Kumbe inawezekana na yenyewe ni ndogo.
 
Safi sana mkuu. Nimepanua uelewa wangu kwenye GPUs. I once had an nvidia nvs 3100 gpu ilikua poa kwenye games za kawaida, though after sometime ikazingua. Kumbe inawezekana na yenyewe ni ndogo.

Yah ni ya zamani, ila hizo zinaitwa quadro series zenyewe zilitengenezwa kwa ajili ya kueditia video na driver zake zimekuwa optimized kwa kazi hio. Japo unaweza cheza games ila hazina nguvu sana kwenye games
 
vip kuhusu nvidia sometimes nakuta GTX,GT, GEFORCE
 
vip kuhusu nvidia sometimes nakuta GTX,GT, GEFORCE

1. Gtx
2. Gts
3.Gt
4.Gs au G

Hio ni rank ya juu ina nguvu zaidi kuliko ya chini. Gtx zinakuwa na clock kubwa, memory bandwitch kubwa, vram nyingi nk wakati gs au g ni ndogo kabisa ambazo maybe unaweza zitumia kuangalia video tu

Na geoforce ni brand name ya nvidia kama amd walivyo na radeon. Sidhani kama inamaana kiutendaji kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…