winston muga jr
Member
- Aug 1, 2015
- 32
- 6
Sawa ahsante sana kk.
Ila vp nkitafuta PlayStation 4 hata fat itakuwa poa ,Ila hofu yangu mwisho wa kutoa games za PS4 ni lini maana now ziko PS5
Desktop yako inasukuma kila heavy games ? Na unanishaur ntafute aina gan ya mashine2022 hakuna pes 22 kuna Efootball tu ambayo ni kama game la simu tu. Pes 2018 low setting nafkiri itapiga kazi.
Mi natumia PC desktop.
Tafuta ambayo inachakachulika udownload games mwenyewe offline, hata support ikiisha utaendelea kutumia.Sawa ahsante sana kk.
Ila vp nkitafuta PlayStation 4 hata fat itakuwa poa ,Ila hofu yangu mwisho wa kutoa games za PS4 ni lini maana now ziko PS5
Desktop nyingi mkuu zina nguvu zamani tulikuwa tunaweka tu Gpu inakuwa gaming pc. Yangu nilitumia kama laki 5 tu.Desktop yako inasukuma kila heavy games ? Na unanishaur ntafute aina gan ya mashine
Tafuta ambayo inachakachulika udownload games mwenyewe offline, hata support ikiisha utaendelea kutumia.
Alternative kama una internet nzuri nunua Xbox series X then jiunge Xbox Gamepass, kihalali ni 25,000 kwa mwezi, na Account za mtaani as cheap as 2500 kwa miezi 3. Unapata zaidi ya Game 100 bure ikiwemo pes.

Sababu Playstation hawana Huduma kama Gamepass as of now, sema kuna huduma kama hio toka kwao inakuja, ngoja tuone itakua na games nyingi na nzuri kama Xbox.Ni shs ngap Xbox Series x na used shs ngap pamoja na mpya , kwa nn Xbox na sio PLAYSTATION
Sawa nmeelewa Ila mie mpenzi wa PlayStation ,Sababu Playstation hawana Huduma kama Gamepass as of now, sema kuna huduma kama hio toka kwao inakuja, ngoja tuone itakua na games nyingi na nzuri kama Xbox.
Pia Series S ni rahisi bei $300 na kwenye sale unaipata chini ya hapo, tofauti na ps5 ambayo kuipata ni kazi na bei ndefu. Na kama umacheza games kwa 720p ama 1080p inacheza bila shida.
Inakuwa hivyo ukidownload crack mkuu, kama una simu nzuri yenye kioo kikubwa ama Tablet download Football manager touch, ni version kama Ya pc kimtindo fulaniSawa nmeelewa Ila mie mpenzi wa PlayStation ,
Nina FOOTBALL HANDHELD 15 mwenye simu Ila Lina fake names naomba unisaidie nfanyeje lier na real names nmedownload oceansofapk
Ya mwaka gan hiyo FM MOBILEInakuwa hivyo ukidownload crack mkuu, kama una simu nzuri yenye kioo kikubwa ama Tablet download Football manager touch, ni version kama Ya pc kimtindo fulani View attachment 2194750
Ina real player names
View attachment 2194751
Utaipata platinmods
Fm touch sio mobile ni ya 2020, ukitaka mobile pia ipo check hio site platinmodsYa mwaka gan hiyo FM MOBILE
Ahsante sana ,but haitazingua chochote likeFm touch sio mobile ni ya 2020, ukitaka mobile pia ipo check hio site platinmods
Device yangu haiko compatible na Hilo game inaniambia , ni INFINIX HOT 10i Kwan inataka ,device yenye uwezo upi ?Ok
Ahsante sana ,but haitazingua chochote like
Maybe inataka kuanzia Full HD display.Device yangu haiko compatible na Hilo game inaniambia , ni INFINIX HOT 10i Kwan inataka ,device yenye uwezo upi ?
SawqMaybe inataka kuanzia Full HD display.
Kiongozi vipi hii specification ya pc yangu naweza cheza gemu? Lenye graphic nzuriMaybe inataka kuanzia Full HD display.
Za kizamani mkuu unacheza pes 2013, Fifa 2014 etc.Kiongozi vipi hii specification ya pc yangu naweza cheza gemu? Lenye graphic nzuriView attachment 2195286
ShukraniiZa kizamani mkuu unacheza pes 2013, Fifa 2014 etc.
Ram unaweza ukaongeza mkuu kupata perfomance zaidi.
mkuu naomba utusaidie specification za desktop utakayocheza game zote.Za kizamani mkuu unacheza pes 2013, Fifa 2014 etc.
Ram unaweza ukaongeza mkuu kupata perfomance zaidi.
Desktop yoyote mpya iliotoka miaka ya karibuni na Gpu ya miaka ya karibuni inacheza games zote.mkuu naomba utusaidie specification za desktop utakayocheza game zote.
thanx mkuu. nitakuwekea specification ya ambayo nataka kuichukua ili kaniambie kama itawezaDesktop yoyote mpya iliotoka miaka ya karibuni na Gpu ya miaka ya karibuni inacheza games zote.
Core i3/i5/i7 gen ya 12, ama Ryzen mpya 5000 ama 6000 series.
Gpu za Nvidia Rtx series ama Amd xt 6000 series.
But it will cost you, mamilioni ya Hela.

niuliza pia mahitaji yanayotakiwa ili nijifunze kuweka game kwenye ps 2, 3, 4 na Xbox.thanx mkuu. nitakuwekea specification ya ambayo nataka kuichukua ili kaniambie kama itaweza