Msaada: Hand delivery is not accepted

Msaada: Hand delivery is not accepted

Yaani hata wakiandika barua ya maombi ya kazi, kama masharti ni kuandika kwa mkono barua husika, hawajui hata kuacha margin ya kutoka pembeni (mstari wa pambizo), yaani anaandika pembeni kabisa ya karatasi kiasi kwamba hiyo barua ikipokelewa wakitoboa kuweka kwenye faili maneno mengine yanatoboka. Halafu hata juu ya Bahasha anapoandika anwani ya huko anapotuma, wengine utaona aandika juu kabisa ya bahasha badala ya kuandika katikati ya bahasha tena kwa herufi kubwa zinazosomea sawa sawia
Pambizo mpaka nilipigwa kipindi nafundishwa
 
hahahahahah, nimekukumbusha mbali hahahahahha.
Unajua wanaposema barua ya maombi iandikwe kwa mkono wanaangalia mambo mengi.
Wengine utakuta eti anapoandika barua, pale juu mkono wa kulia anapoandika anwani yake, ANAANZA NA JINA LAKE kitu ambacho sio sahihi, kwa mfano kuandika kwenye anwani kama hivi ni koso:
KIATU KIPYA,
S.L.P. 202020202,
KATAVI.
hilo ni kosa kubwa.
hutakiwi kuandika jina lako kwenye anwani. Jina lako litaonekana mwishoni kabisa kwenye barua yako ukishaandika "complimentary close"
hapo juu weka anwani tuuu. Hili kosa naona watu wengi wanakosea hata wasomi
 
aiseee umenikumbusha kitu
 
Mbona hata mm mmeandika ivo ivo nifute nn au niache tu nmeshai print kabisa ndo nataka nkatume xx
 
Kwa uelewa wangu mdogo tu ni kuwa wakiandika ivo kama wametoa email yao nakushauri tuma kwa email kama hakuna tuma kwa posta
 
Back
Top Bottom