Msaada: Hand delivery is not accepted

Msaada: Hand delivery is not accepted

brazah

Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
45
Reaction score
37
Hivi kwenye barua ya kuomba kazi wakiandika hand delivery is not accepted wanaamaanisha utume posta kwa njia ya EMS au kawaida tu maana kuna njia nyingi za kutuma kupitia posta kuna kawaida, EMS, Rejesta n.k???
 
Ivi kwenye Barua ya kuomba kazi wakiandika Hand delivery is not accepted wanaamaanisha utume posta kwa njia ya EMS au kawaida tu maana kuna njia nyingi za kutuma kupitia posta kuna kawaida,EMS,Rejesta n.k???
upo sawa yaani usipeleke mwenyewe ofisini kwao itume kwa njia ya posta au kama katika tangazo walisema utumie email
 
Ivi kwenye Barua ya kuomba kazi wakiandika Hand delivery is not accepted wanaamaanisha utume posta kwa njia ya EMS au kawaida tu maana kuna njia nyingi za kutuma kupitia posta kuna kawaida,EMS,Rejesta n.k???
Tuma kwa njia ya posta itakayosaidia barua kufika mapema mf EMS
 
Maelezo yote huwa yanakuwepo kama utume kwa EMS, register au ordinary. Kama hawakuweka maelekezo basi wee tuma kawaida tu, nenda kwenye kaunta ya posta wapime barua yako ina uzito kiasi gani na itachukua stamp ya shilingi ngapi halafu ukishalipia, lamba kidogo hiyo stempu kama hakuna kidude cha maji hapo kaunta ya posta, bandika stempu yako, toka nje uliza sehemu ya kutumbukiza barua, kama ni barua ya kwenda hapa hapa nchini au nje ya nchi au kwa nyie wa "Daa" basi tumbukiza kwenye sanduku husika.
Kumbuka kabla ya kutumbukiza angalia tena kama umeandika anwani sahihi.
 
Aiseee nimekupenda buree...hawajaandika kutumia njia ipi na mm nipo Simiyu
 
Alaa kumbe uko Simiyu: sehemu gani? Meatu, Maswa, Bariadi, Busega, Itimila au wapi? enewei jitahidi kusoma tena hilo tangazo kwa makini sana kabla hujatuma.
 
Niko Maswa nmesoma vizuri hawajaandika kwa njia ipi
 
Maelezo yote huwa yanakuwepo kama utume kwa EMS, register au ordinary. Kama hawakuweka maelekezo basi wee tuma kawaida tu, nenda kwenye kaunta ya posta wapime barua yako ina uzito kiasi gani na itachukua stamp ya shilingi ngapi halafu ukishalipia, lamba kidogo hiyo stempu kama hakuna kidude cha maji hapo kaunta ya posta, bandika stempu yako, toka nje uliza sehemu ya kutumbukiza barua, kama ni barua ya kwenda hapa hapa nchini au nje ya nchi au kwa nyie wa "Daa" basi tumbukiza kwenye sanduku husika.
Kumbuka kabla ya kutumbukiza angalia tena kama umeandika anwani sahihi.
Jirani we kichaa
 
hahahahaah, unajua hawa watoto hawajui mambo ya kupost barua!!! wao wanajua tu kuandika sms tena kwa lugha kama hizi "xaxsa, cikuoni, 208 eti ndio tuonane" hahahahahahahahahahah
Aiseee yaani huwa inanikera sana mtu kuandika hivyo
 
Hahahahaha io 208 nomaa sana lzm upoteee kdg
 
Aiseee yaani huwa inanikera sana mtu kuandika hivyo
Yaani hata wakiandika barua ya maombi ya kazi, kama masharti ni kuandika kwa mkono barua husika, hawajui hata kuacha margin ya kutoka pembeni (mstari wa pambizo), yaani anaandika pembeni kabisa ya karatasi kiasi kwamba hiyo barua ikipokelewa wakitoboa kuweka kwenye faili maneno mengine yanatoboka. Halafu hata juu ya Bahasha anapoandika anwani ya huko anapotuma, wengine utaona aandika juu kabisa ya bahasha badala ya kuandika katikati ya bahasha tena kwa herufi kubwa zinazosomea sawa sawia
 
hahahahaah, unajua hawa watoto hawajui mambo ya kupost barua!!! wao wanajua tu kuandika sms tena kwa lugha kama hizi "xaxsa, cikuoni, 208 eti ndio tuonane" hahahahahahahahahahah
21002
unajua hapo wanamaanisha nini hawa VIJANA
 
Back
Top Bottom