Msaada google play problem

Msaada google play problem

Tish

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
360
Reaction score
209
Niki download app inachukua mda mrefu ili hali imefika 100%
Screenshot_20180313-150336.jpg
 
hujajaza ma ant virusi humo kwenye simu yako? maana kuna simu app haiwezi ku install mpaka ichekiwe na ma app ya ajabu ajabu.
 
hujajaza ma ant virusi humo kwenye simu yako? maana kuna simu app haiwezi ku install mpaka ichekiwe na ma app ya ajabu ajabu.
Hapana mkuu situmii hizo ant virus lakini tatizo bado lipo nimejaribu ku unstall play store lakini bado.Pia nilikuwa na mpango nikiuza hii cm nichukue xiaomi mi a1 je ni nzuri na bei yake ikoje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom