msaada;google adsense inanifanya nikose usingizi kabisa

Mechanics

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
295
0
habari wakuu nmeomba adsense wiki sasa cha kushangaza hamna matangazo yeyote hata kivuli zaidi ya kunipa hii message
Your AdSense for content application is still under review. You will only see blank ads until your account has been fully approved or disapproved. Learn more.
 

privacy

JF-Expert Member
Apr 20, 2014
1,353
2,000
Hapo wiki tuu umechoka?? Wenzako wanakaa miezi n yet wanakuwa disapproved so kikubwa usitangulize njaa kwenye hizo mambo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

ray57

Member
Oct 29, 2013
97
125
Nilipata tatizo kama lako na sikutumia shortcut but after 3days Mambo yakajipa!!!!
Kikubwa kufuata Sheria Zao zote Kama Wanavyotaka then utafanikiwa bila kikomo
Nilikaa miezi 3 bila adsence :israel::israel:
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom