Nimechanganyikiwa kidogo baada ya mfululizo wa matangazo ya magodoro. Je, lipi ni bora zaidi? Nataka nitafute 6x4, sasa sijui lipi litanifanya niote vizuri.
Wakuu hali zenu,
Nimechanganyikiwa kidogo baada ya mfululizo wa matangazo ya magodoro. Lipi ni bora zaidi? Nataka nitafute 6x4, sasa sijui lipi litanifanya niote vizuri.
Shukran!
shukran mkuu. Sasa, brand gani niiendee? Maana kuna kina Tanfoam, sijui wengine Quality... Mara magodoro dodoma. Mara lile la babu mpaka mjukuu. Hapo ndo nachanganyikiwa sasa.
shukran mkuu. Sasa, brand gani niiendee? Maana kuna kina tanfoam, sijui wengine quality... Mara magodoro dodoma. Mara lile la babu mpaka mjukuu. Hapo ndo nachanganyikiwa sasa.