Shukrani maseratiSio kila mchaga afunguliwe duka. Mwambie aje na plan na mchanganuo wa biashara umpe mtaji. Ndio mkome kujitia wababe kwa wapenzi wenu.
Ha ha ha ha ha. Duh!!!mean while nae hana akili,ana disco kisa stress za mwanaume atiii mkorofi!!!!chaaaa!!!wonders can never end. Au unacho cha dhahabu kaka??
We boya bill gates, mark , steve job hawakudisco waliacha chuo kwenda kupiga mishe zao ambazo ndio zimewatoa sasa huyo wako aliyedisco chuo atadisco hadi biasharaNajua mimi ndo nimesababisha kupata hayo matokeo mabaya chuoni coz alikuwa stressed sana na tabia zangu za ukorofi so sitaki kumdisapoint nataka afanye mambo mengine hasa biashara na naamin anaweza na pia ana asili ya kichaga
Nataka nimpe mtaji aanzishe biashara
Naomba mnipe uzoefu waungwana nimpe mtaji wa kiasi gani na afanye biashara gani kwa wakati huu tuliopo itakayomkeep busy ili asiwaze haya yaliyotokea leo.
Naomba michango yenu ya kimawazo wakuu najua hapa hapaharibiki kitu
Niwatakie jioni njema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo nilikuwa nahitaji michango yenu ya kimawazo nimpatie kiasi gani akaangauke nacho miss.una sh ngapi kwani uliyomuandalia ya mtaji?
Asante sana mdauWe boya bill gates, mark , steve job hawakudisco waliacha chuo kwenda kupiga mishe zao ambazo ndio zimewatoa sasa huyo wako aliyedisco chuo atadisco hadi biashara
wewe unash ngapi kwani?Ndo nilikuwa nahitaji michango yenu ya kimawazo nimpatie kiasi gani akaangauke nacho miss.
Sent using Jamii Forums mobile app