Fundi mpe laki 8Za weekend wandugu?
Heri ya Sikukuu ya Eid wana jukwaa. Hapa ninapoishi pana nafasi kubwa tu imebaki. Ni nyumba ya familia lakini nimeruhusiwa kujenga. Nataka nijenge Chumba kimoja na Sebule. Upande wa chumba nitatoa choo pembeni, na upande wa Sebule nitatoa Jiko.
Sasa muongozo wenu naomba, fundi anatakiwa labda acheze kwenye kias gani ufundi labda? Just bei elekezi tu, yaweza kua +/- kias kidogo hapo. Ni ujenzi wa boma tu bila kupaua.
Saiti ni Sinza Uzuri, Dar es Salaam.
Hapo inabakia kupaua tu, anaweza kuleta shida kwenye zege la renta mana linakuaga na watu wapyaLaki 8 hapo akianza msingi ni mpaka linta na kozi 5 za juu yake? Au inaishia wapi?
Naomba ramani ya hako kajumba nikaweke kwenye plot yanguZa weekend wandugu?
Heri ya Sikukuu ya Eid wana jukwaa. Hapa ninapoishi pana nafasi kubwa tu imebaki. Ni nyumba ya familia lakini nimeruhusiwa kujenga. Nataka nijenge Chumba kimoja na Sebule. Upande wa chumba nitatoa choo pembeni, na upande wa Sebule nitatoa Jiko.
Sasa muongozo wenu naomba, fundi anatakiwa labda acheze kwenye kias gani ufundi labda? Just bei elekezi tu, yaweza kua +/- kias kidogo hapo. Ni ujenzi wa boma tu bila kupaua.
Saiti ni Sinza Uzuri, Dar es Salaam.
Kujenga msingi mpaka boma Chumba kimoja,sebule,jiko na choo kwa 450,000 kupaua na kupiga bati kwa 150,000 huyu fundi ana patikana wapi mkuu.!?Msingi anaweza kujenga Kwa shilingi 100,000
Kunyanyua Kuta shilingi 200,000
Zege la lenta shilingi 75,000
Kumalizia kozi 5 za juu shilingi 75,000
Kupaua na kupiga bati 150,000
Kuchimba shimo la choo shilingi 150,000
Ujenzi wa shimo la choo na kulifunika shilingi 200,000
Roughly andaa kama shilingi milioni 1 kukamilisha huo Ujenzi pamoja na shimo la choo
Kunaweza kuwa na plus/minus kama utaweza kuwa mzuri kwenye kubargain bei vizuri
Tena sehemu yenyewe Sinza, ipo chini sana hiyo estimationKujenga msingi mpaka boma Chumba kimoja,sebule,jiko na choo kwa 450,000 kupaua na kupiga bati kwa 150,000 huyu fundi ana patikana wapi mkuu.!?
Jitahidi uwe mzuri kwenye kubargainKujenga msingi mpaka boma Chumba kimoja,sebule,jiko na choo kwa 450,000 kupaua na kupiga bati kwa 150,000 huyu fundi ana patikana wapi mkuu.!?
Fundi maikoKujenga msingi mpaka boma Chumba kimoja,sebule,jiko na choo kwa 450,000 kupaua na kupiga bati kwa 150,000 huyu fundi ana patikana wapi mkuu.!?
Mmmhhh,Msingi anaweza kujenga Kwa shilingi 100,000
Kunyanyua Kuta shilingi 200,000
Zege la lenta shilingi 75,000
Kumalizia kozi 5 za juu shilingi 75,000
Kupaua na kupiga bati 150,000
Kuchimba shimo la choo shilingi 150,000
Ujenzi wa shimo la choo na kulifunika shilingi 200,000
Roughly andaa kama shilingi milioni 1 kukamilisha huo Ujenzi pamoja na shimo la choo
Kunaweza kuwa na plus/minus kama utaweza kuwa mzuri kwenye kubargain bei vizuri
Mmh hii bei babu....bei ya serikali bila efd 😁Msingi anaweza kujenga Kwa shilingi 100,000
Kunyanyua Kuta shilingi 200,000
Zege la lenta shilingi 75,000
Kumalizia kozi 5 za juu shilingi 75,000
Kupaua na kupiga bati 150,000
Kuchimba shimo la choo shilingi 150,000
Ujenzi wa shimo la choo na kulifunika shilingi 200,000
Roughly andaa kama shilingi milioni 1 kukamilisha huo Ujenzi pamoja na shimo la choo
Kunaweza kuwa na plus/minus kama utaweza kuwa mzuri kwenye kubargain bei vizuri
Nitupie pm basi dada na mie nipate pa kuita homeNimekaiba mtandaoni nikaweka vipimo
Mzeya two bedroom boma mpaka kupau gharama ikoje?Kazi Yako ipo wapi ??kama upo dar na kama una laki6 Yako mfuko wa shati nakukabidhi hadi top course nipigie 0793199967 au watsap 0694021603....ingawa gharama inaweza ongezeka kidogo isiyozidi lak1 kulingana na plan ya nyumba Yako na quality ya ujenzi sabb nyumba ukiiwekea nguzo pembezono na kibaraza itaongeza siku za kazi hivo cost itaongezeka kidogo ila ni kazi ya eiki1 tu.All the best
Mzeya two bedroom boma mpaka kupau gharama iko
Unajua kuna wakati ni ngumu kufanya makadirio sahh bila kujua design ya nyumba au chumba mteja atakacho mfano kina mtu anajenga kijumba Cha kuanzia maisha haweki Baraza mwingn anaweka Baraza mwingn haweki nguzo mwingn anaweka mwingn haweki zege la mkanda mwa chini mwingn anaweka mwingn hamwagi zege la blndng chini kulingana na ardhi au bajeti mwingn anamwaga haya ni mambo yanayoleta mabadiliko ya bei n.kMzeya two bedroom boma mpaka kupau gharama ikoje?