Hili nitacheki na fundi aje acheki timing kama imekaa sawa1. Angalia kama timing belt ipo kwenye right tooth. Baadhi ya engine zipo very sensitive.
Engine ni 2jzge non vvti, nimejaribu kugoogle hizi hazina crankshaft sensor wanasema distributor ndio inafanya kazi ya hio sensor.2. Angalia pia Crankshaft position sensor. Sijajua kama hiyo engine mliyoweka inaweza kuwa inatumia hall effect au magnetic(inductive) type sensor. Kwa maana hizo dalili ulizotaja zinafanana 100% na hiyo sensor.
Hili nitacheki na fundi aje acheki timing kama imekaa sawa
Engine ni 2jzge non vvti, nimejaribu kugoogle hizi hazina crankshaft sensor wanasema distributor ndio inafanya kazi ya hio sensor...
wacha niitafute mana mara hio ndio mzizi wa fitnaMe ninachojua Distributor inafanya kazi ya Camshaft Position Sensor.
2JZGE inakuwa na Crankshaft position sensor ambayo ipo mounted kwenye housing la oil pump. Wameificha kishenzi...
Wazo la huyo mdau linaweza kuwa suluhisho1. Angalia kama timing belt ipo kwenye right tooth. Baadhi ya engine zipo very sensitive.
2. Angalia pia Crankshaft position sensor. Sijajua kama hiyo engine mliyoweka inaweza kuwa inatumia hall effect au magnetic(inductive) type sensor. Kwa maana hizo dalili ulizotaja zinafanana 100% na hiyo sensor.
Timing belt ikiwa kwenye jino tofauti gari inakua inapiga tu ila haiwaki...1. Angalia kama timing belt ipo kwenye right tooth. Baadhi ya engine zipo very sensitive.
2. Angalia pia Crankshaft position sensor. Sijajua kama hiyo engine mliyoweka inaweza kuwa inatumia hall effect au magnetic(inductive) type sensor. Kwa maana hizo dalili ulizotaja zinafanana 100% na hiyo sensor.
Kwa vile haya ni matokeo ya modification, P0012 inaweza kuwa na maana kuwa wafungaji wa injini hiyo ya modification hawakukaza baadhi ya bolts sawasawa. Kwenye Injini kila bolt ina torque inayotakiwa ndiyo maana wakati wa ufungaji lazima uhakikishe unatumia Torque wrench pamoja na kujua namba za kila bolt.Kichuguu aje kutupa mawili matatu.
Kila la kheri kwenye project yako MkuuDaah... kwanza umenifurahisha sana.. hata mimi nina car project yangu nataka kuianza mwezi ujao.... nimenunua body moja ya pickup single cab.. ila ina engine ya RWD, L18nataka kufumua kila kitu niisuke.. niweke FWD... nafikiria 5A ya toyota.. [emoji23] anyways turudi kwako.. hio ni purely issue ya wiring.. mfano.. anza na huo ufunguo unaotumia kuwasha gari...
Hii engine nimeitoa kwenye gari, na humo ilikuwa inatembea fresh tu, only one time niliivutia ikakata moto hafla ila nlipowasha ikakubali apo apo. So engine kama engine yenyewe haijafunguliwa kitu zaidi ya kuondolewa Air intake, disconnected from gearbox, na kutiwa kwenye bodi nyengine tu na kurudishiwa.Kwa vile haya ni matokeo ya modification, P0012 inaweza kuwa na maana kuwa wafungaji wa injini hiyo ya modification hawakukaza baadhi ya bolts sawasawa. Kwenye Injini kila bolt ina torque inayotakiwa ndiyo maana wakati wa ufungaji lazima uhakikishe unatumia Torque wrench pamoja na kujua namba za kila bolt...
Kama hawaku-temper na timing, na unasema injini yako siyo VVT-i, nadhani ni engine ya kabla ya mwaka 1995. Ndani ya distributor kuna kitu kinahesabu mizunguko ya distributor kwa dakika. Kila design zinatofautiana, na design rahisi sana ni switch ya kawaida tu ambapo kila distributor ikizuzunguka mara moja inawasha na kuzima ile switch.Hii engine nimeitoa kwenye gari, na humo ilikuwa inatembea fresh tu, only one time niliivutia ikakata moto hafla ila nlipowasha ikakubali apo apo. So engine kama engine yenyewe haijafunguliwa kitu zaidi ya kuondolewa Air intake, disconnected from gearbox, na kutiwa kwenye bodi nyengine tu na kurudishiwa....
Kama hawaku-temper na timing, na unasema injini yako siyo VVT-i, nadhani ni engine ya kabla ya mwaka 1995. Ndani ya distributor kuna kitu kinahesabu mizunguko ya distributor kwa dakika. Kila designe zinatofautiana, na design rahisi sana ni switch ya kawaida tui ambpo kila distributor izkuzunguka mara moja inawasha na kuzima ile switch.
Huenda switchi hiyo ina masizi mengi kiasi kuwa haiunganishi umeme tena sawasawa. Distributor nyingine zina pickup coild kama ya kwenye radio cassete ambyo pia inakuwa inagenerate pusles kwa kila mzunguko mmoja wa distributor; inawezekana waya za pickup coil hiyo zimelegea kwa kutu.
CPS sensor hamna, distributor ndio inafanya kazi ya cps na ndio inapeleka signal ya RPM. Waya zimechekiwa kutpka distributor kwenda kwenye ECU zinaonekana zinapeleka signal.Mkuu mimi bado nastick kwenye CPK/CPS sensor... Na kama haipo basi inatakiwa tujue ni kifaa gani kinachopeleka signal ya RPM kwenye ECU halafu baada ya hapo ikaguliwe signal line, ground na power supply(kama ipo) ya hicho kifaa.
Maana kwa ile code unayopata it seems like ECU haipokei signal yoyote ya RPM.
Next week nakuja Dar kama utakuwa hujapata ufumbuzi naweza kupita niangalie.
CPS sensor hamna, distributor ndio inafanya kazi ya cps na ndio inapeleka signal ya RPM. Waya zimechekiwa kutpka distributor kwenda kwenye ECU zinaonekana zinapeleka signal.
Kwa jinsi inavowaka halafu kuzima, inaonekana ECU inapokea signal kwa muda mfupi halafu inakata.
Next step hapa natafuta wiring ya 1G kavu na control yake, iungwe na mashine halafu itizamwe, ikiwa haikati moto basi manake ECU yangu itakuwa mbovu nitafute nyengine, ikiwa bado inakata basi Distributor mbovu.
Nasubiri unipe suspects nyingine katika engine mana sasa hii project imeanza kunichukizaNgoja baada ya kazi nitkuandikia orodha ya suspects wengine katika injini hiyo, ila inaonekana kama kuna mambo mawili makubwa . (1) Ninaona kama hiyo timing belt yako hata kama haikuguswa ilikuwa tayari imeshapanuka kwa hiyo inapoteza timining ikianza kuwa loaded, au (2) Connectors zako kutoka kwenye ECM kwenye sehemu mbalimbali za gari, mojawapo ina kutu kwa hiyo haiunganishi vizuri waya mmoja;hasa ile ya kutoka kwenye distributor. Jaribu kusafisha ile plug inayotoka kwenye disributor kutumia mafuta yake haya
View attachment 1499390
ECU huwa hazifi kirahis vile; ila kama mlikuta kuna resistor imeungua, halafu mkaibadilisha hiyo tu, bado itakuwa haifanyi kazi tena kwa vile hamjatafuta sababu iliyofanya hiyo kuungua. Electronic components zina tatizo moja kuwa zinaweza kufa bila kukuonyesha dalili; kwa hiyo kubadilisha resistor moja hakuna maana kuwa components nyingine zote ni nzima. Ningekushauri ubadilisha engine control unit yote kwa zile, kama ilivyo motherboard ya computer, huwa hasifanyiwi matengezo kabisa.Nasubiri unipe suspects nyingine katika engine mana sasa hii project imeanza kunichukiza
1) timing belt imechekiwa iko powa
2) Fundi umeme amepima kwa tester yake plug ya distributor kwenda kwa ECU ameona kuwa signal ipo na haina interruption yoyote ile (ikiwa engine off apo)
Kwenye hio video nloiweka, baada ya kuzima, tukijaribu kuiwasha tena ndio inagoma mpaka tuchomoe betri, lakini tukijaribu na akipima, anakuta spark na injectors hamna kitu ndio mpaka achomoe betri arudishe.
Hapa tumekuwa na suspect ya ECU, tuliifungua ndani tukakuta resistor moja iliungua, tukaipeleka kwa fundi ikatolewa ikawekwa nyengine, ambayo nayo pia nna wasiwasi ilikuwa mbovu mana ilikuwa na alama za kuungua, lakini pia hatuna uhakika kama ameweka resistor iliokuwa sawa na alioitoa, iliotoka iliunguwa ilifutika namba zake kabisa, sasa sijui kama jamaa kwa vile aliona blue akaweka blue yoyote tu ile.