Hivi haya makampuni ya yanayotoa wafanyakazi wa kazi za nyumbani ikiwemo shamba boy gardener na house girls..... huwa hawana dhamana iwapo mfanyakazi amefanya uhalifu. Najua kwanza gari ipatikane ila hata hiyo kampuni viongozi wao wahusike kusaidia huyo kijana apatikane. Isijekuwa ni mchezo wao.... wiki moja anaiba gari.... hatari hii. Isiwe tuu ameenda kuikata spea ni kuwa atapatikana ila gari ndo haitopatikana.MFANYAKAZI WA NYUMBANI AMBAE HANA WIKI AKITOKEA KWENYE MAKAMPUNI YANAYOTOA WAFANYAKAZI WA NYUMBANI.....
Wanachinja na kuuza spare mkuu.Hahaa sasa anaiba gari hata bila kadi atamuuzia nan?? Na mambo sasa niliona kawatangazia kiama cha hawa wajinga
duh kama hiyo ni namba d itakua bado mpya kabisa.kuchinjwa ni ukatili mkubwa,sawa na kuchinja kifaranga na kukila hahahWanachinja na kuuza spare mkuu.
Vv
Wanatakiwa kuwanayo intact wamekamatwa waliompa huyukijana kuisaidia polisi..Hivi haya makampuni ya yanayotoa wafanyakazi wa kazi za nyumbani ikiwemo shamba boy gardener na house girls..... huwa hawana dhamana iwapo mfanyakazi amefanya uhalifu. Najua kwanza gari ipatikane ila hata hiyo kampuni viongozi wao wahusike kusaidia huyo kijana apatikane. Isijekuwa ni mchezo wao.... wiki moja anaiba gari.... hatari hii. Isiwe tuu ameenda kuikata spea ni kuwa atapatikana ila gari ndo haitopatikana.
Poleni wahusika natumai gari itapatikana salama.
Wanatakiwa kuwanayo intact wamekamatwa waliompa huyukijana kuisaidia polisi..
Cha AJABU WANAJULIKANA JAMANI.PALE KARIAKOO HAKUNA CHA KUFICHA SASA KWANINI WASIENDE KUWAKAMATA TUACHE STORY ZA KWENTE MAGAZETI TUTAWASHUGULIKIA....
BINAFSI MASIKINI MZEE WANGU AMETUMIWA KAGARI CHAKE NA MWANAE WAKAJA USIKU..ASBH TUKAAMKA TUKAJUZWA NA JAMAA MMOJA TUWAHI KRKOO..PALE PEMBENI YA BIGBONE .UKWELI TULIJIANDAA TUKAMBIWA MZIGO WA UBUNGO AUJAJA..SAMBILI IKAJA TAX INASHUSHA VIOO VINNE...NIKAMBIWA KAONGEE NA KING.JAMAA.MMOJA PEMBENI AKASEMA UNA LAKI NA NUSU NKAOMBA NA HAMS8NI AKASEMA ONGEZA 30 YA TAX..TUKAWAPA
GAFLA MZEE MMOJA AKAONA NAE KIOOCHAKE AKAPIGA UKUNGA AISEE JAMAA WALIKIACHIA CHINI NAKIONA NA KUSAMBARATIKA
MJUE HII CHENI SIOO YA KISPORT SPORT WANAMTU ANAWALINDA HUYOO NDIE WAKUMFUMANIA .MICHEZO IFE
PALE TRA PEMBENI WALIBIWA JAMAA GARI...BAADA YA WIKI WAKAJAKUSACHI NA DEFENDER WALIKAMATA ENGINE NA MILANGO MIWILI...SASA HAO NDIO WANATUSAIDIA KUJUA WALIOIBA HAYA MÀGARI
Wooiii m naendaa buzaaaaaaaaaaaaaHuyo jamaa mbona inaonekana kama mtu wa ma deal?
Halafu huyo kijana ni mtu mzima bado damu inachemka halafu unamweka house boy? Aombe sana huyo boss wake aliye muibia hana watoto angewabaka na kuondoka na gari amwombe sana Mungu....
nikiibiwa wala siumizi kichwa naenda kwa mzee napandisha nyeti za mtu kwenye paji la uso...
Hatari kabisa na inatia hasira kutoa pesa zaidi kununua iliyokuwa mali yako.
Sina hakika ila nahisi polisi nao wanahusika hapa.
Shemeji yangu amepatwa na maafa jana baada ya kuibiwa gari na mfanyakazi wa nyumbani ambae hana wiki akitokea kwenye makampuni yanayotoa wafanyakazi wa nyumbani..
Tuwe makini wapendwa. Popote utakapoliona msaada wako please namba na jina husila liko kwenye attached picture!
View attachment 714791
VIFAAA VYA WIZI VINAJULIKANA VINAPOUZWA SASA KUNA HAJA YA KUWAACHA WAENDELEE KUUZA WATU WAMEKUWA MABILIONEA NA SPARE ZAWIZI ZA MAGARI INASIKITISHA SANA SANA
Tuwe makini wapendwa.