Guilherme
Senior Member
- Feb 20, 2020
- 100
- 78
Habari zenu wakuu, natumai nyote ni wazima wa afya. niende moja kwa moja kwenye mada ni hivi nimepanga ninunue moja ya mashine tajwa hapo juu sasa nipo njia panda sijui nichukue ipi kati ya ps4 na gaming laptop aina ya dell g3 3579 yenye i5 ram 8 nvidia gtx 1050, naombeni ushauri wenu wakuu ukizingatia faida na hasara ya kila mashine tajwa hapo juu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏