Msaada: Galaxy Note 4 ina nini cha zaidi?

Daah haya ndio mambo niliyokuwa nayataka kuyasikia na kuyasoma...Ahsante sana mkuu. Ila ninaswali lingine:
Je hii S Pen inaweza kutumika kuandikia sms na mtu utakaemtumia akasoma maandishi kama ulivyoyatuma?

hapana huwezi kuituma kama text ila unaweza kuituma kama image (picha)
 
Mkuu,Chief Mkwawa...hapo kwenye camera nakubaliana na wewe. Pia hii Note 4 inakaa sana na chaji kushinda simu yeyote niliyopata kuitumia. Ila hivyo vitu viwili havinifanyi nione eti kuwa hii simu inatafauti kubwa sana na zingine.
 
Mmh kama picha? Ki vipi?

-unaweza kushare kama screenshot uliyo icrop kama alivyoelezea +255
-kama ni app ya kuchorea/kuandikia unasave kama picha halafu ile picha ndio unashare na mwenzako

mfano
pXfScvs.jpg

unaweza kushare whatsapp, viber, fb, twitter na hata kwenye sms (mms)
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,Chief Mkwawa...hapo kwenye camera nakubaliana na wewe. Pia hii Note 4 inakaa sana na chaji kushinda simu yeyote niliyopata kuitumia. Ila hivyo vitu viwili havinifanyi nione eti kuwa hii simu inatafauti kubwa sana na zingine.

hivyo nilivyokutajia ndio vikubwa ila vipo vyengine vidogo dogo kama
-quality ya kioo ni kubwa kushinda iphone yoyote au galaxy s4
-processor yenye speed kushinda simu zote (exynos) au kama ni ya snapdragon ina speed pia ila sio kama iphone hizi mpya
-camera ya nyuma pia ni nzuri sana
-sababu inachukua 4k unaweza kubadili video kuwa picha
-future proof kwa miaka ijayo utaendelea kupata updates zaidi kumshinda wa s4
 
Daah nakusoma mkuu...si haba umenipa darsa kubwa.
 
Ni miezi miwili sasa tangia nimeanza kutumia hii simu(Samsung Galaxy Note 4) ila bado sijaona faida yeyote kwa kutumia hii simu...maana sioni tofauti yeyote ya kimatumizi. Kama kuna mtu yeyote hapa jukwaani anaejuwa matumizi na mbwembwe zote za hii simu naomba anielekeze hapa ili iwe faida kwangu mimi na wanajamvi wengine wanaotumia simu hii.

Mfano kuna hii S Pen (kalamu ya kuandikia) kusema kweli nimejitahidi na kujaribu sana niweze kuitumia hii pen lakini nimechemsha. Sasa nimekuta najiuliza peke yangu hivi kwanini nilinunua hii simu? Maana sioni tafauti yeyote ya kimatumizi kama S4,IPhone 5 au Nokia Lumia...sasa naona inaniongezea uzito mifukoni kwangu maana hii simu ni kubwa sana na ni ndefu pia.

Nawaombeni wana jamvi kama kuna mtu atanielekeza na kuniambia jinsi ya kutumia hii simu na faida zake basi nitashukuru sana tukianzia na hii S Pen. Maana kama haina chochote cha ziada zaidi ya sifa za kuwa eti unatumia Note
4 basi kwahilo siko teyari na ni bora ni iuze na nirudi kulekule kwenye S4 yangu au IPhone.

Am done: michango yenu nyinyi ndio itakayo amua nibaki na hii simu au ni iuzilie mbali uko.

Mimi natumia Galaxy Note 4 kwa kadiri miezi sita sasa. Kama kifaa chochote cha teknolojia, uzuri au ubaya wake unategemea na mahitaji yako. Kwa watu wengine S Pen ni kitu muhimu sana, na ukiwaona wenyewe wanavyojua kuitumia kuandika, kuchora etc, utakubali kwamba kwa huyu mtu, simu kuwa na S Pen kunamletea tofauti kubwa. Kwa wengine sisi, S Pen inaweza isiwe na maana sana.

Mimi kwangu features ninazoona nazitumia sana kwenye Note 4 ni fingerprint recognition na S Health.

Fingerprint recognition imeongeza usalama kwenye simu. Hizi habari za ku swipe kwenye kioo, kwanza kuna a limited amount of user friendly patterns, ambazo ukizi swipe sana, zinaweza kuacha alama kwenye kioo/ screen cover kiasi cha kumfanya mtu asiyetakiwa kuweza kujua swipe pattern yako ni ipi na kupata access na simu.

Kwa hiyo fingerprint recognition ni muhimu kwangu.

Halafu, kama tunatumia versions sawa za Note 4, kule nyuma chini ya kamera kuna kama kioo fulani hivi cha kupima mambo kemkem ya afya kama mapigo ya moyo na Ultra Violet radiation, miongoni mwa mengine. Haya huwekwa pamoja katika app ya S Health ambayo inaweza kufanya mahesabu tangu ya hatua unazopiga kila siku, umbali uliotembea/kimbia na kadhalika. Hii app ikitumiwa vizuri inaweza kukupa muhtsari mzuri kujua hali yako ya kiafya inaendaje.

Hili kwangu ni muhimu. Kwa sababu nilikuwa nafikiri kununua pedometer. Hii simu inanifanya niwe na pedometer iliyokuwa very sophisticated katika simu, complete with an internet connection nikitaka ku link na apps nyingine za kiafya. Kwa hiyo badala ya kuvaa pedometer na kuwa na simu, simu inafanya kazi kama pedometer pia. That's a nice feature for me, although I suspect you may have the same with other phones, I did not have this with my previous phone.

Zaidi ya hapo kamera yake ya 16 megapixels na optical image stabilization ni improvement kutoka model za zamani. Display pia imeongezeka kutoka 1080p HD kwenda 2,650 x 1,440p quad HD AMOLED display. Pixel density imeongezeka kutokaNote 3's 386 ppi mpaka Note 4's 515 ppi. Haya ni mambo ambayo unatakiwa kuyaangalia kabla hujanunua, ulinganishe specs on paper, user experience dukani, mahitaji yako na bajeti yako.

Ukinunua simu kwa sababu mpya tu ukitegemea itapiga Kiwi viatu vyako mara zote utakuwa disappointed.

Mimi nilisubiri sana kununua simu mpya na simu yangu ya zamani (Galaxy Note 2) ilikuwa inaanza kuwa slow, hivyo ulikuwa ni muda wa ku upgrade.

Kwa ulinganisho zaidi soma hapa Samsung Galaxy Note 4 review - CNET
 
Tunahitaji watu wenye uelewa wa kutosha kuhusiana na hizi simu aisee

Nilimnunulia simu hii mtu nikampelekea zawadi bongo. Kakaa nayo muda mrefu hata hizo features nilizozitaja alikuwa hazijui, mpaka akaja kuoneshwa na wengine waliokuwa wanafuatilia mambo ya simu.

Kwa hiyo mara nyingine hizi simu zinataka ufuatiliaji fulani ili kujua features. Unaweza kulaumu simu haina kipya kumbe wewe mwenyewe huna utashi hata wa kutaka kujua "hikl kioo chini ya kamera kazi yake nini?".
 
Mimi natumia Galaxy Note 4 kwa kadiri miezi sita sasa. Kama kifaa chochote cha teknolojia, uzuri au ubaya wake unategemea na mahitaji yako. Kwa watu wengine S Pen ni kitu muhimu sana, na ukiwaona wenyewe wanavyojua kuitumia kuandika, kuchora etc, utakubali kwamba kwa huyu mtu, simu kuwa na S Pen kunamletea tofauti kubwa. Kwa wengine sisi, S Pen inaweza isiwe na maana sana.

Mimi kwangu features ninazoona nazitumia sana kwenye Note 4 ni fingerprint recognition na S Health.

Fingerprint recognition imeongeza usalama kwenye simu. Hizi habari za ku swipe kwenye kioo, kwanza kuna a limited amount of user friendly patterns, ambazo ukizi swipe sana, zinaweza kuacha alama kwenye kioo/ screen cover kiasi cha kumfanya mtu asiyetakiwa kuweza kujua swipe pattern yako ni ipi na kupata access na simu.

Kwa hiyo fingerprint recognition ni muhimu kwangu.

Halafu, kama tunatumia versions sawa za Note 4, kule nyuma chini ya kamera kuna kama kioo fulani hivi cha kupima mambo kemkem ya afya kama mapigo ya moyo na Ultra Violet radiation, miongoni mwa mengine. Haya huwekwa pamoja katika app ya S Health ambayo inaweza kufanya mahesabu tangu ya hatua unazopiga kila siku, umbali uliotembea/kimbia na kadhalika. Hii app ikitumiwa vizuri inaweza kukupa muhtsari mzuri kujua hali yako ya kiafya inaendaje.

Hili kwangu ni muhimu. Kwa sababu nilikuwa nafikiri kununua pedometer. Hii simu inanifanya niwe na pedometer iliyokuwa very sophisticated katika simu, complete with an internet connection nikitaka ku link na apps nyingine za kiafya. Kwa hiyo badala ya kuvaa pedometer na kuwa na simu, simu inafanya kazi kama pedometer pia. That's a nice feature for me, although I suspect you may have the same with other phones, I did not have this with my previous phone.

Zaidi ya hapo kamera yake ya 16 megapixels na optical image stabilization ni improvement kutoka model za zamani. Display pia imeongezeka kutoka 1080p HD kwenda 2,650 x 1,440p quad HD AMOLED display. Pixel density imeongezeka kutokaNote 3's 386 ppi mpaka Note 4's 515 ppi. Haya ni mambo ambayo unatakiwa kuyaangalia kabla hujanunua, ulinganishe specs on paper, user experience dukani, mahitaji yako na bajeti yako.

Ukinunua simu kwa sababu kipya tu ukitegemea itapiga Kiwi viatu vyako mara zote utakuwa disappointed.

Mimi nilisubiri sana kununua simu mpya na simu yangu ya zamani (Galaxy Note 2) ilikuwa inaanza kuwa slow, hivyo ulikuwa ni muda wa ku upgrade.

Kwa ulinganisho zaidi soma hapa Samsung Galaxy Note 4 review - CNET
Mkuu, ahsante sana...ngoja nivifanyie kazi hivi vitu!! Sasa kidogooo naanza kupata mwanga. Shukrani za pekee zikufikie wewe na Chief Mkwawa. Ila naanza kujiridhisha kuwa hii S Pen ni mbwembwe tu kwa watu kama sisi.
 
nadhani siyo mbwembwe.pen Iko pouwa na namatumizi .jitahidi utaipenda.
 
Mkuu, ahsante sana...ngoja nivifanyie kazi hivi vitu!! Sasa kidogooo naanza kupata mwanga. Shukrani za pekee zikufikie wewe na Chief Mkwawa. Ila naanza kujiridhisha kuwa hii S Pen ni mbwembwe tu kwa watu kama sisi.

Hahahaha, hamna noma. Sisi wengine hiyo Bic tu machejo, itakuwa S Pen?
 
Mimi natumia Galaxy Note 4 kwa kadiri miezi sita sasa. Kama kifaa chochote cha teknolojia, uzuri au ubaya wake unategemea na mahitaji yako. Kwa watu wengine S Pen ni kitu muhimu sana, na ukiwaona wenyewe wanavyojua kuitumia kuandika, kuchora etc, utakubali kwamba kwa huyu mtu, simu kuwa na S Pen kunamletea tofauti kubwa. Kwa wengine sisi, S Pen inaweza isiwe na maana sana.

Mimi kwangu features ninazoona nazitumia sana kwenye Note 4 ni fingerprint recognition na S Health.

Fingerprint recognition imeongeza usalama kwenye simu. Hizi habari za ku swipe kwenye kioo, kwanza kuna a limited amount of user friendly patterns, ambazo ukizi swipe sana, zinaweza kuacha alama kwenye kioo/ screen cover kiasi cha kumfanya mtu asiyetakiwa kuweza kujua swipe pattern yako ni ipi na kupata access na simu.

Kwa hiyo fingerprint recognition ni muhimu kwangu.

Halafu, kama tunatumia versions sawa za Note 4, kule nyuma chini ya kamera kuna kama kioo fulani hivi cha kupima mambo kemkem ya afya kama mapigo ya moyo na Ultra Violet radiation, miongoni mwa mengine. Haya huwekwa pamoja katika app ya S Health ambayo inaweza kufanya mahesabu tangu ya hatua unazopiga kila siku, umbali uliotembea/kimbia na kadhalika. Hii app ikitumiwa vizuri inaweza kukupa muhtsari mzuri kujua hali yako ya kiafya inaendaje.

Hili kwangu ni muhimu. Kwa sababu nilikuwa nafikiri kununua pedometer. Hii simu inanifanya niwe na pedometer iliyokuwa very sophisticated katika simu, complete with an internet connection nikitaka ku link na apps nyingine za kiafya. Kwa hiyo badala ya kuvaa pedometer na kuwa na simu, simu inafanya kazi kama pedometer pia. That's a nice feature for me, although I suspect you may have the same with other phones, I did not have this with my previous phone.

Zaidi ya hapo kamera yake ya 16 megapixels na optical image stabilization ni improvement kutoka model za zamani. Display pia imeongezeka kutoka 1080p HD kwenda 2,650 x 1,440p quad HD AMOLED display. Pixel density imeongezeka kutokaNote 3's 386 ppi mpaka Note 4's 515 ppi. Haya ni mambo ambayo unatakiwa kuyaangalia kabla hujanunua, ulinganishe specs on paper, user experience dukani, mahitaji yako na bajeti yako.

Ukinunua simu kwa sababu mpya tu ukitegemea itapiga Kiwi viatu vyako mara zote utakuwa disappointed.

Mimi nilisubiri sana kununua simu mpya na simu yangu ya zamani (Galaxy Note 2) ilikuwa inaanza kuwa slow, hivyo ulikuwa ni muda wa ku upgrade.

Kwa ulinganisho zaidi soma hapa Samsung Galaxy Note 4 review - CNET

Umeelezea vizuri sana kiasi kwamba nimejikuta natamani kuwa nayo, otherwise mi si mpenzi wa androids phones.
 
Simu bwana ni ww tu...kam huna matumiz na simu usinunue simu kubwa...sawa na mtu anataka ku root simu yke alaf hajui afanye nn na root access.ndo sawa naww mkuu..hyo simu ningepata mimi basi ningetumia tofaut na ww.kikubwa ni matumiz .
 
Mkuu, usemacho wala hujakosea...kweli simu ni matumizi.
Anyway acha nijaribu haya mavituz niliyofundishwa hapa na wadau nione itakuwaje. Nikiona kama bado ni pasua kichwa ni bora kuiuza nirudi tu kwenye smart phone za kawaida.
 
sema naww ulienda mbali..tafuta smart size tu then ipe maujanja..mim nina s2 ila natumia custom rom.basi hta ataekuja na s5 kwangu hua anatoa macho..
 
Daah haya ndio mambo niliyokuwa nayataka kuyasikia na kuyasoma...Ahsante sana mkuu. Ila ninaswali lingine:
Je hii S Pen inaweza kutumika kuandikia sms na mtu utakaemtumia akasoma maandishi kama ulivyoyatuma?
unaweza tumia kalamu kuandika na mwandiko wako mwenyewe then simu itabadilisha kama umechapwa na keyboard.
 
Back
Top Bottom