Msaada: Galaxy Note 4 ina nini cha zaidi?

Msaada: Galaxy Note 4 ina nini cha zaidi?

sema naww ulienda mbali..tafuta smart size tu then ipe maujanja..mim nina s2 ila natumia custom rom.basi hta ataekuja na s5 kwangu hua anatoa macho..

Poa mkuu noted...ila nilikuwa natumia S.Galaxy 4' baada ya kupata hii Note 4 ndipo nikaiuza ingali mbichi kabisa. Ila kupitia thread hii ya leo kuna kitu nimejifunza
 
unaweza tumia kalamu kuandika na mwandiko wako mwenyewe then simu itabadilisha kama umechapwa na keyboard.

Hii naijuwa na nimeshaifanya...shida yangu nikitaka pale ninapotumia kuandikia S Pen basi yale maandishi yaende vile vile kwa mtu ambae namtumia sms...ila kupitia thread hii nimejuwa kuwa haiwezekani
 
Kama ni mtumiaji wa kawaida kabisa wa simu huwezi kuona tofauti kubwa zaidi ya umbo na kalamu

Hii imaonyesha tulio wengi tunanunua simu kama fasheni na si kulingana na mahitaji yetu
 
Back
Top Bottom