S simakoku JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 587 Reaction score 676 Apr 18, 2014 #1 yoyote mwenye kufahamu fundi au sehemu ambayo anapatikana fundi wa uhakika wa kutengeneza sreen ya laptop iliyopasuka tafadhali naomba msaada
yoyote mwenye kufahamu fundi au sehemu ambayo anapatikana fundi wa uhakika wa kutengeneza sreen ya laptop iliyopasuka tafadhali naomba msaada
Ndebile JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 8,246 Reaction score 12,797 Apr 19, 2014 #2 Nunua supa gluu na uunganishe mwenyewe! Kabla haijakauka miminia majivu kidogo kwenye ufa wa screen, mimi yangu nimefanya hivyo na iko poa kinoma.
Nunua supa gluu na uunganishe mwenyewe! Kabla haijakauka miminia majivu kidogo kwenye ufa wa screen, mimi yangu nimefanya hivyo na iko poa kinoma.
G.Jacob JF-Expert Member Joined Aug 12, 2013 Posts 3,617 Reaction score 3,491 Apr 19, 2014 #3 simakoku said: yoyote mwenye kufahamu fundi au sehemu ambayo anapatikana fundi wa uhakika wa kutengeneza sreen ya laptop iliyopasuka tafadhali naomba msaada Click to expand... kama upo Dar 0713 756980
simakoku said: yoyote mwenye kufahamu fundi au sehemu ambayo anapatikana fundi wa uhakika wa kutengeneza sreen ya laptop iliyopasuka tafadhali naomba msaada Click to expand... kama upo Dar 0713 756980