KIBURUDISHO JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 1,002 Reaction score 278 Sep 17, 2017 #1 Namtafuta mtaalamu kwa kuzifunga zile taa za kwenye kumbi za disco ambazo mwanga wake huwa zinawaka kwa kuendana na mdundo wa mziki.
Namtafuta mtaalamu kwa kuzifunga zile taa za kwenye kumbi za disco ambazo mwanga wake huwa zinawaka kwa kuendana na mdundo wa mziki.
N nsereko m JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 2,930 Reaction score 2,175 Sep 17, 2017 #2 wasubiri wajuvi waje.
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,822 Reaction score 5,425 Sep 18, 2017 #4 upo wp
KIBURUDISHO JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 1,002 Reaction score 278 Sep 18, 2017 Thread starter #5 sultanseifu said: Mimi Click to expand... Unao uwezo wa kuzifunga mziki unapopiga taa zinawaka kuendana na mdundo?
sultanseifu said: Mimi Click to expand... Unao uwezo wa kuzifunga mziki unapopiga taa zinawaka kuendana na mdundo?
KIBURUDISHO JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 1,002 Reaction score 278 Sep 18, 2017 Thread starter #7 Jamani namtafuta fundi anayefahamu hicho nilichokiuliza akipatikana? suala la mimi niko wapi tutazungumza nae
Jamani namtafuta fundi anayefahamu hicho nilichokiuliza akipatikana? suala la mimi niko wapi tutazungumza nae