Msaada fundi pia mtaalam wa disco light

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,007
1,500
Namtafuta mtaalamu kwa kuzifunga zile taa za kwenye kumbi za disco ambazo mwanga wake huwa zinawaka kwa kuendana na mdundo wa mziki.
 

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,007
1,500
Jamani namtafuta fundi anayefahamu hicho nilichokiuliza akipatikana? suala la mimi niko wapi tutazungumza nae
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom