msaada frequency mpya ch10

mwaxxxx

JF-Expert Member
Jul 1, 2012
858
246
wadau naomba mwenye kujua freq mpya za channel ten coz hii ya mwanzo hawapatikani na nimesikia wamebadilisha
 
Ni zilezile za siku zote hawakufanya mabadiliko kama walivyokuwa wametoa tangazo hapo awali.3906/2844
 
wadau naomba mwenye kujua freq mpya za channel ten coz hii ya mwanzo hawapatikani na nimesikia wamebadilisha
Duh umefanikiwa?? mimi na TBC pia siipati ni wiki ya pili sasa kulikoni???? To be honest pengo la Mhando halijazibwa!
:blah::blah::blah:
 
Duh umefanikiwa?? mimi na TBC pia siipati ni wiki ya pili sasa kulikoni???? To be honest pengo la Mhando halijazibwa!
:blah::blah::blah:

HONGERA kwa kuikosa TBC! Hujapungukiwa na chochote wala lolote kuikosa, vinginevyo ukiiangalia wanakuweka kwenye kundi la majuha fulani.
 
frequence walizotoa ni 4065 sr 2844. Kwa kweli sijuh kwanini hawapatikani,kama mimi na muda mrefu siwapati nilidhani mimi ndo mwenye matatizo kumbe hata ninyi pia?

kwa hizi walizotoa hawapatikani lakini bado mie nawapata kwa zile za awali - fr 3906 na sr 2846 quality ikiendelea kudorora. satellite ni intelsat 906
 
HONGERA kwa kuikosa TBC! Hujapungukiwa na chochote wala lolote kuikosa, vinginevyo ukiiangalia wanakuweka kwenye kundi la majuha fulani.[/QUOTE]

watu wengine duh!!! sina hakika kama uwezo wako wa kufikiria uko kawaida jaribu kutafakali kabla hujachangia lolote humu ktk JF:closed_2::closed_2::closed_2::closed_2::closed_2:
 
kwa hizi walizotoa hawapatikani lakini bado mie nawapata kwa zile za awali - fr 3906 na sr 2846 quality ikiendelea kudorora. satellite ni intelsat 906

I gave you the 3905 and 2848 did you tried? at home is what currently am using and is doing fine.

Tbc are still in the same, but to conquer them together and locate them at the same dish position on the pole or ground needs time and tolerance.
 
Mie pia napata shida kwenye receiver yangu ya humax HD nikiweka tbc star tv inaondoka na tbc inakaa pale pale ilipokuwa startv. Nikiweka Startv inaingia pale pale ilipokuwa tbc.
Sasa ili nisikose uhondo niliona bora nibakize startv na tbc iondoke ingawa naipenda.
Mwenye suruhisho anaweza kunisaidia nifanye nini?
 
Back
Top Bottom