Msaada: Fremu mbili tofauti zinahitajika

Msaada: Fremu mbili tofauti zinahitajika

Babu Kijana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
589
Reaction score
278
Natafuta fremu mbili tofauti, moja yenye ukubwa wa kawaida iwe kinondoni au mwananyamala kodi isizidi elfu 80 kwa mwezi, na ya pili iwe kubwa sana ya kuweza kuweka mini supermarket maeneo ya gongo la mboto au kitunda au chanika mjini penye watu wengi kodi isizidi laki na nusu.
Mwenye kujua au kuwa nayo anifahamishe.
 
Njoo kimara ipi mbili sehemu nzuri alfu themanini
 
Asali, asali mbichi na fresh pipa mbili(2) inapatikana kijiji cha Nzihi kwa mawasilano piga: No.0788372113& 0755951333.
 
Back
Top Bottom