Msaada freeweb hosting site

Msaada freeweb hosting site

social_science

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2015
Posts
1,105
Reaction score
1,262
Najaribu kutafuta mtandaoni site nyingi unafanya reg baadae process zinazofuata inabidi kulipia
 
jichange ununue host plan hizi za free huwa limited
 
Mimi natumia zaidi PythonAnywhere na Heroku, jua kwamba ninadevelop web applications kwa kutumia Python na Ruby. Ninahost Python based applications katika pythonanywhere na Ruby based applications katika Heroku. My development environment is GNU/Linux. Enjoy!
 
Back
Top Bottom